Taarifa.

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Kwa muda mrefu nimekuwa kwenye relation na huyu Ladymasa. Lakini tangu nitoe post iliyokuwa inaeleza wanawake ambao majina yao yanaanza na A ni wazuri zaidi, wana akili zaidi na wanaishi muda mrefu basi uhusiano ukaingia doa.

Zikiwa zimebaki dakika 6, samahan siku 6 kufika siku ya wapendanao mimi natangaza rasmi kubwaga manyanga. Na kuanzia sasa naanza search upya. Vigezo na masharti ya jina kuanza na A kuzingatiwa. Ila pia natafuta bestman na bestwoman.

NB:
Wenye A tu wanaruhusiwa ku-apply. Na application zote zitumwe hapa hapa. Na SITAKI aliyekaguliwa na babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Anhaa basi subiri wenye vigezo watume application
 
Nilikuwa namtafuta sana huyu binti bora ulivyo bwaga manyanga

cc. watu8
 
Last edited by a moderator:
mmh!!
kweli?
au unakwepa jukumu la kum treat valentine's day?
 
kwa taarifa yako sijui kama utampata mtu humu mjengoni kwani wote waliomo humu wameshakaguliwa na bazazi Asprin SASA sijui utafanyaje na walioanzia majina ya A ni nadra sana kupatikana kwenye uongozi humu mjengoni labda wale wanaofifia kwa muda sana hapa

 
Last edited by a moderator:
duh umevunja nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe
 

Hata sio kweli. Mbona Bantu lady bado..! Au anavunga?
 
Last edited by a moderator:
Ila mmh ngoja kwanza. We unaye?
Bado sina au unahisi nitajipigia pande mwenyewe? lakini wew si umesema wenye heruf A so asiyekuwa na herufi hiyo hausiki kwenye usajili wako hata nikijitwalia haina shida
 
Huyo tayari ameshapata kiota chake,yuko chini ya miliki ya Sungura1980

Kwa mujibu wa taarifa zake ni kwamba kagoma kukaguliwa na Asprin. Kwa hiyo Sungura 1980 kajipatia ambaye hajakaguliwa.
 
Last edited by a moderator:
Bado sina au unahisi nitajipigia pande mwenyewe? lakini wew si umesema wenye heruf A so asiyekuwa na herufi hiyo hausiki kwenye usajili wako hata nikijitwalia haina shida

Tatizo nikiona cv nzuri naweza kutengua kauli.
 
Tatizo nikiona cv nzuri naweza kutengua kauli.
Basi tengua kauli mapema si unajua valentine day imekaribia hakuna anayependa kuwa mpweke lakini ww si umesema wenye heruf A tu tena kwa msisitizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…