Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kukataa kukosolewa ndani ya Chama ndio uhaini..Dr.Mkumbo K.
 
Nilijua kuna mambo ya maana kumbe ni kulalamika tu ...kheee nyie clouds mbona mnaweka tangazo sasa
 
ulitaka wakutane manzese ili mupeleke vijana wa bavicha na watembea na sumu wakamzuru zitto.

nyie watu wajinga sana njaa ya pesa mnakubali kuua chama cha watanzania ili mununue majumba dubai na kufanya ngono na wabunge wenu.

zitto atakuwa mwenyekiti tu.

VIONGOZI wa harakati za wanyonge wanakutana na hadhira kwenye hoteli ya Nyota Tano ya Serena...kuelezea mkakati wa kutetea wanyonge....tunawasikiliZA....ni vema kusikia pande wa Pili
 
Kukataa kukosolewa ndani ya Chama ndio uhaini..Dr.Mkumbo K.

sijamuelewa kitila ...sasa mbona analalamika tu ...na anakiri kuwa yupo chadema bado na ataendelea kuijenga chadema ..kheeee
 
Ni kweli mkuu amebaki kama mfa maji anatapa tapa tu.

Fedha fedheha!...kusema kweli lile dau lilikuwa tempting, hata kama ingekuwa mmimi kwa hakika ningeshawishika! Sasa Zito keshakufa kisiasa, hata akihamia chama gani hawezi kuwa na nguvu kama alizokuwa nazo CDM!
 
Kitila Nkumbo anamalizia kwa kusema, atahakikisha anashirikiana na viongozi wengine ndani ya chama ili kuinusuru CDM isigawanyike. Zitto sasa ndo anaongea.
 
Updates via Clouds Fm.
Zitto anasema hivi.

1.Tuhuma nilizoelezwa awali sizo zilizoelezwa kwa kamati kuu
2.Mimi sitokuwa chanzo cha CDM kuvunjika
3.Siwezi kushiriki kuvunja CDM
4.Kuna haja ya kuwa na CDM imara
5.Tuhuma kwamba ni mbinafsi na kupokea rushwa nitazijibu moja baada ya nyingine
6.Kwamba sikushiriki kampeini za Urais 2010 kwa slaa
7.Hakuna kiongozi yoyote wa CDM isipokuwa Dk slaa aliyezunguka majimbo mengine kupiga kampeini zaidi yangu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom