Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Dr Kitila anasema CDM hakitakufa, kitazidi kuimarika. Anawaasa wanachama na wapenzi wa CDM wapiganie misingi ya demokrasia ndani ya chama.
 
hata siku zile tuliambiwa tusichague chama tuchague mtu.tukawachagua watu hatukuchagua ccm.leo mnataka tukipende chama.natusipende mtu.

Tutakuwa na zito daima na milele
Poleni sana wote mliopo CDM kwa sababu yupo mnafiki Zitto, Rudisheni kadi na tunawatakia safari njema...
 
Siyo Kigoma tu dada Arushaone, karibia kila mkoa wanachana bendera za NGO.

Dah!! Kama huyu ni dada kweli kwa mujibu wa maandishi yako hapo juu,basi huyu dada atakuwa alikwishaachika kw zaidi ya wanaume 100 tangu alipoolews kw mara ya kwanza!

Huwa naangalia comment zake nashangaa sana sass leo mkuu umenifumbua kichwa,dah nilikiwa nawaza moja kwamba atakua ni mdada halafu ambae ameachika kwa zaidi ya wanaume 100!!
 
Last edited by a moderator:
Tupia maneno ya huyo msalt. aseme asiseme yeye ni msalti wa cdm, aondoke tu.
 
hata siku zile tuliambiwa tusichague chama tuchague mtu.tukawachagua watu hatukuchagua ccm.leo mnataka tukipende chama.natusipende mtu.

Tutakuwa na zito daima na milele

afadhali zitto kakataa kuwa mskule wa mchawi mtei na mrithi wa uchawi mbowe na slaa
 
nasikiliza hapa naona Dr.Kitila analalamika tu ...hakuna la maana ..tayari wameshashindwa
 
Fedha fedheha!...kusema kweli lile dau lilikuwa tempting, hata kama ingekuwa mmimi kwa hakika ningeshawishika! Sasa Zito keshakufa kisiasa, hata akihamia chama gani hawezi kuwa na nguvu kama alizokuwa nazo CDM!
 
Amewaonya wale wote wanaofikiri kuwapinga viongozi ndani ya chama ni uhaini. Anadai mhaini ni yule anayeminya fikra huru na demokrasia ndani ya chama.
 
Dr.Kitila anakili na hajitoi chadema ...hahaaaaaaa CCM poleni sana ...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

108 Reactions
Reply
Back
Top Bottom