Roho zinawauma sana poleni bandugu magamba.
VIONGOZI wa harakati za wanyonge wanakutana na hadhira kwenye hoteli ya Nyota Tano ya Serena...kuelezea mkakati wa kutetea wanyonge....tunawasikiliZA....ni vema kusikia pande wa Pili
Kukataa kukosolewa ndani ya Chama ndio uhaini..Dr.Mkumbo K.
Dr Kitila anasema CDM hakitakufa, kitazidi kuimarika. Anawaasa wanachama na wapenzi wa CDM wapiganie misingi ya demokrasia ndani ya chama.
...mkuu hapo penye red nimecheka sana! kumbe anakuja kufanya Press CONFESS? basi tumtakie kila la heri!Nimeacha Shughuli nyingine zote nimekaa nasubiri hapa kwenye mtandao press comfres ya ZZK
Kwani walikuwa wanatumia njia gani kukosoa ? kuja jamii forum kama mkulima maskini?Kukataa kukosolewa ndani ya Chama ndio uhaini..Dr.Mkumbo K.
Fedha fedheha!...kusema kweli lile dau lilikuwa tempting, hata kama ingekuwa mmimi kwa hakika ningeshawishika! Sasa Zito keshakufa kisiasa, hata akihamia chama gani hawezi kuwa na nguvu kama alizokuwa nazo CDM!
Wewe endelea tu kujifanya unajua sana kuongea.Wapi nilipotukana wewe!!!!! vipi umevurugwa nini?
Wewe endelea tu kujifanya unajua sana kuongea.