Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Umekiuka mashariti Kwamba mjadala umefungwa.

Mzee unanikumbusha juzi Kati niliwekwa sero kwa masaa kadhaa pale selander kwa kosa la kumwambia trafiki anafanya kazi kwa mazoea na sio kwa utaratibu.
Basi akili za hao wawili ni sawa na za afande.
 
Kwa walio wengi hapa Tanzania wakiambiwa tu neno tumia akili huwa wanachukulia Ni TUSI. Pole kaka ila utambue tu kuna kazi ambazo hakuna ARGUMENTS wala Reasoning na traffic police wanaweza kuwa miongoni mwao.
 
Ni mihangaiko ya kawaida tu ambayo hata yuda iskariote alifanya baada ya kumsaliti yesu,kwa hivyo haya yote tulisha yategemea kutokea pamoja na kuwa kwa sasa hayana impact yeyote kwa chama makini CHADEMA.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom