Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kinachonisikitisha ni huu uamuzi wa Zitto kukaa na vyombo vya habari na kutaka kuuelezea Umma juu ya hiki kilichomtokea wakati tukitambua kuwa amepewa siku 14 ajieleze juu ya makosa yaliyomsababishia kuvuliwa uongozi, kwa hiki anachokifanya sidhani kama wiki ijayo itapita bila kuvuliwa na uanachama kabisa kwani anazidi kuongeza kosa ndani ya kosa.
 
Zitto anasema hatokuwa chanzo cha CDM kufa. "kuvunja CDM ni kama kunivunja mim mwenyewe"
 
Zitto anasema hatakuwa chanzo cha CDM kuvurugika, anadai ndo kilichomlea na kimemfikisha hapo alipoa. Anaongeza CDM ni maisha yake, amejiunga tangu akiwa na umri wa miaka 16 sasa anamiaka 36.
 
Kinachonisikitisha ni huu uamuzi wa Zitto kukaa na vyombo vya habari na kutaka kuuelezea Umma juu ya hiki kilichomtokea wakati tukitambua kuwa amepewa siku 14 ajieleze juu ya makosa yaliyomsababishia kuvuliwa uongozi, kwa hiki anachokifanya sidhani kama wiki ijayo itapita bila kuvuliwa na uanachama kabisa kwani anazidi kuongeza kosa ndani ya kosa.
Pole sana kwa kusikitishwa wewe ulitaka akae kimya tu teh teh teh!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom