Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Narudia kuuliza 'ivi' kwa wale walosoma science kidogo mambo ya mendelia theory,genetic na makromozome ivi yale makengeza ya Mbowe yana mahusiano kidogo na ya Baba mkwe wake Mtei maana kama uoni wao unafanana kidogo? Anaejua embu afunguke!!! Madhara ya kumtimua Zitto yapo wazi mbona wote hawayaoni?
Siamini kama umeangalia ulichokuwa unaandika hapa, ebu rudia kidogo kusoma ulichoandika upime kama unaweza kukiandika tena?
 
....sababu kuu ni kumpiga mchungaji ili kondoo watawanyike. Hivi ubora wa zitto dhidi ya mbowe ni nini?

kwanza anakotoka zitto na dr kitila wanajisaidia porini hadi leo.!!!!!wanachofanya tusishangae.watataka wote tukajisaidie porini.nawaomba wanacdm wote popote mlipo tuwaogope watu hawa kama ukimwi.viashiria vinaonyesha hawa watu wamekuwa wakitumiwa kwa maslahi yao binafsi.sasa wanataka kufanya wanacdm wengine wawafuate.mwana cdm atakayewaamini atakuwa anafikiri kwa kutumia makalio for sure
 
Nawashukuru Zito na Mkumbo kwa angalau kuonyesha some loyalty kwa chama chao. Kwa hili kidogo wameonyesha wanaweza 'kusikilizika'. Hii ni pale walipouhakikishia Umma wa Tanzania kuwa hawatakuwa wa kwanza kujiondoa CDM. Hata hivyo, nikianza na Zito nipende kumshangaa kama kweli yeye ni mwanasiasa mkomavu sasa iweje aitishe press conference na kuanza kujibu ambacho 'hajatuhumiwa nacho'? Ingetosha sana kuiambia hadhara ya watanzania kuwa kilichosababisha nisimamishwe sicho kilichotolewa hadharani. Baada ya hapo ukaisubiri barua ya kujieleza ndipo kama kweli unayo nia ya kujibizana ukarudi na kututhibitishia kwa ushahidi wa umeandikiwa nini ujieleze. Iwapo barua ya tuhuma zako ikiwa ni sawa sawa na alichotueleza Tundu utatuambia nini tena ambao hatukuwa kwenye kikao cheni cha CC? Na iwapo tuhuma zikija zaidi ya 'ulizojibu' utakuja na nyimbo gani tena?
Dakta huyu naye kanishangaza sana. Dokta mzima unakiri.....yaani kweli ulishiriki katika ujinga huu? Kwamba 'mpinzani wenu' aharibu chama mkitazama tu ili baadae 'mnayemtaka' awe mwenyekiti? Hii ni bila hata kuona hatari ya kutengeneza ushindi kwa wapinzani wa chama chenu. huyu ni daktari kabisa! Busara pekee uliyoionyesha angalau ni kuomba radhi lakini sympathy ya wenye kufikiri huwezi kuipata. Utetezi eti hata Barack Obama alitengenezewa mkakati na kupata urais! Hii ndo justification? Obama akiuza ikulu na sisi tuuze! Usomi wetu unanipunguzia sifa kama huku ndiko kufikiri kwa wasomi wetu. Mkumbo, hata kama kweli unampenda kiasi hicho rafiki yako aongoze CDM huwezi kutumia mambo yaleyale yanayodaiwa kutumiwa na JK na wana mtandao wenzie kumwingiza madarakani. Huoni/husikii ambavyo hadi leo CCM inahangaika na hii mitandao?
Ingalikuwa ni mimi ningetulia pasina kuanza malumbano na kutafuta namna ya kurejesha tumaini jipya kwangu toka kwa wanachama wenzangu. Kwa sasa mlilolifanya ni sawa na kuwahimiza CDM wawafukuze kundini. Aliyewadanganya kuwa mnakubalika sana huku uraiani, pasipo kumung'unya maneno ANAWADANGANYA!

kaka unamponda dokta, waraka umeusoma lakini madini ya SWOT yaliyofanyika humo ndani au umekurupuka tu..???
 
Akili ndogo kutawala akili kubwa. PhD mzima anakubali kuwa kikaragosi cha Zitto!

dk.kitila ni mzalendo amejitolea kuipokea hukumu hata kama siyo halali kwa maana ameteuliwa na baraza kuu na hilo ndilo lilipaswa kumtengua..angeweza kupinga na akashinda na mtu yeyote angeweza kupinga lakini sio dk kitila kwa maslahi ya chama ameipokea hukumu ingawa ina mapungufu watu wa namna hii hawazaliwi kila siku!
 
Taarifa za wafa maji!!! Kama waliona ndani ya chama hakuna demokrasia sasa demokrasia ya kuondoka si walikuwa nayo? Mbona hawakuondoka? Milango ili wazi, waondoke!!! CDM si majina ya watu, ni chama hiki!!!! Hata sasa nashangaa eti wanagoma kuachia uanachama, sasa watakaa huko iweje wakati hakuna demokrasia? Si waseme tu wanataka kubaki ili waendelee kuwaunda akina MMMMM wengi ili waendelee kukivuruga chama. CDM kuweni makini sana na kuwabakiza hawa watu ndani ya CDM. Watoke wakaanzishe Chama chao waachie CDM watanzania. Fed with hawa wasaliti Zitto na Mkumbo!!! Ila wakuu mjue kuwa tangu Kitila Mkumbo akiwa mwanafunzi Chuo Kikuu cha DSM na akiwa DARUSO alitumika sana!!!!!!!! Ni mnafiki mno!!!!!!!! Hafai huyu!!! Kwa mantiki hiii kutumika kwa Mkumbo kwa hadharani kwa sasa haijashangaza sana!!!!
 
Hapa suala sio kufanya jambo kwa kulipiza: Wala mimi si mwanachama wala mfuasi wa yeyote katika chadema bwana Mwekundu. Ingekuwa ni busara kwa zito ku-deal na huo waraka unaomtuhumu na sio kuandaa waraka wake wa kimapinduzi. Chadema wameukana waraka na sasa anaenda mahakamani (hii ndio njia sahihi) but kwa kuandaa mtandao wake hilo ni kosa na ndio chanzo cha migogoro.
 
wewe makalio kweli_nani kakwambia CDM ni mali ya wanachama? unajielewa kweli? MTEI asikusikie
Kama ni uasisi hata TANU NA CCM zinawaasisi, hoja yako haina mashiko. MSALITI WENU AMETEMWA NYADHIFA ZOTE, angojee baraza kuu na hiyo 14days. kwa kashfa hizo ni maoni yangu hafai hata kuwa kiongozi wa tawi, sembuse taifa??
 
Mchango wa zzk kwa taifa hili na kwa chama chake ni wa kiwango cha kupigiwa mifano, badala yakumtia moyo au kujifunza na kufanya vizuri zaidi yake.. wengi wenu inawauma kwa wivu wa kijinga.....!Acheni porojo, majungu na unafiki!
Propaganda na Ushabiki wakujipendekeza upande wa wenye madaraka/fedha hauta wapeleka kokote kisiasa!

Karibu kilaza wa Lumumba..karibu ktk uwanja wajinga wasipofagiliwa.

Sasa km ana mchagngo wa mfano ktk taifa kwanini msimsajili ,ili mdumishe uzalendo mnaooupigia chapuo?Wewe lini ukawa mchauri wa CDM,nani kakukaribisha ?Wewe ndio mmbea mkubwa kabisa.

Nania najipendekeza ktk madaraka na hela?Kuna madaraka makubwa kuliko yaliyopo CCM ?Kuna hela nyingi kuliko iliyopo CCM?sasa ipi tafsiri yako ya wenye madaraka na hela.

Vijana wengine wajinga kuliko watu walioishi msituni bila elimu wala kuona umeme.Nini kimewaharibu akili kihivyo,ni matumbo yenu, au ndio madhara ya Genetically modified Products?Nenda mkapiaginae makofi kwa mataahira ya lumumba.Ambayo tangu ayafundishwe kupiga kelele na makofi hawajawahi jua maana yake.
 
Nmeamini CDM ni saccos eti kwanini hakuwatonya akina slaa warudishe mzigo walijikopesha

Kuna vitu vingine ni kufikiria tu kwa kutumia ubongo....ZZK hapo anajikosha, TUJIULIZE: katika kipindi hicho chote tokea achakuliwe uenyekiti wa kamati ya bunge (sasa ni miaka mi 3) akiwa anajua kuwa sheria inataka CAG ndio akague, na yeye ni kiongozi wa CDM, kwanini kwa nafasi yake katika chama (siyo kuwatonya) asishurtishe hesabu hizo zikaguliwe na CAG badala ya huyo mkaguzi wa nje kama sheria inavyotaka? Je amewahi mkuwaambia viongozi wenzie kuhusu hilo na wakakataa??

Kwa mantiki hiyo, asiwaamboe watu eti walitaka kutonya, unless atuambie aliijua hiyo sheria juzi alipotangaza hivyo au alikuwa anataka ujiko.
 
kwanza anakotoka zitto na dr kitila wanajisaidia porini hadi leo.!!!!!wanachofanya tusishangae.watataka wote tukajisaidie porini.nawaomba wanacdm wote popote mlipo tuwaogope watu hawa kama ukimwi.viashiria vinaonyesha hawa watu wamekuwa wakitumiwa kwa maslahi yao binafsi.sasa wanataka kufanya wanacdm wengine wawafuate.mwana cdm atakayewaamini atakuwa anafikiri kwa kutumia makalio for sure
hiyo siyo hoja unampa umaarufu
 
Makamanda mmesikika kwa watakao kuwa na masikio. Na wenye machujio maridhawa watakuwa wameshachuja na kupembua sawia. Ningefurahi sana km ningepenyezewa chapisho hilo la siri nijue kilichomo kabla ya kujenga mawazo huru!
 
Dr. Kitila Mkumbo na wenzako; siasa za uwoga zimepitwa na wakati kama unaamini kuwa ndani ya CDM kuna matatizo kwanini msihoji kwa njia ya uwazi na kujiamini badala ya kutumia majina bandia? mnaogopa nini? na nani kawatuma kwa faida ya nani? Sasa basi kama kweli mna nia njema kwa nini mnaogopa kutajana mlioandaa waraka huu? mna mashaka na nini? Najuwa nia ya wewe kukubali kuujuwa waraka huu na wakati huohuo ukimtetea ZITO kuwa haujuwi ni njia ya kutaka kulifanikisha lengo lenu wewe na zito ili asionekane kuwa anaweka makundi kwenye chama tena kwa maslahi yake binafsi na wafuasi wake (wewe na wenzako). Kwa mtu yeyote makini, anafahamu wazi kwamba licha ya kukanana kama ilivyokuwa kwa sakata lililowaondoa kina Shoza na wenzake, nyinyi kwa umoja wenu ni vibaraka na hampo CDM kwa manufaa ya chama ila kwa kutafuta umaarufu wa kulifikia lengo lenu la kukigawa chama ili mnayempigia debe apate umaarufu kwa manufaa binafsi.
 
Kuwa chadema ni upuuzi

CCM imeongoza nchi kwa miaka 50 hadi leo Watanzania ni maskini wa kutupwa,hilo tu linatosha kuonesha namna CCM isivyofaa hata kuitwa chama

Niambie ni upuuzi kwenye eneo gani kuiunga mkono Chadema?
 
daa zitto ana busara sana.
Kila mtu anajua kuwa tatizo si waraka bali ni

ZITTO KUTAKA VYAMA VIKAGULIWE.

ZITTO KUKATAA POSHO.

ZITTO KUWA TISHIO KWA UENYEKITI WA MBOWE.

YANI MTU ANATAKA KUONGOZA MILELE KAMA MFALME.

HIVI KWA NINI WATU WACHAGULIWE VIONGOZI?


WALE WAADISHI WA HILE RIWAYA YA SIRI NI LAZIMA WACHUKULIWE HATUA.

ZITTO TUTAENDELEA KUKUOMBEA HILI KUKULINDA DHIDI YA MATOFALI KUTOKA KWA MWENYEKITI WA CHADEMA BAUNSA.

Henry Kilewo, Godbless J Lema.
Sinto kujibu kwakuwa wewe kwasasa ni mwanachama wangu na paswa kukushauri maadili ya chama na misingi yake.. Kuwa huru karibu ofisi za mkoa nitakuelekeza mwanachama wangu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom