Taarifa za Msiba: Babu yangu amefariki akiwa na miaka 95

Respect
 
Hongereni sana Mkuu kwa kuwa na karama ya kuwatunza wazee.....Si sehemu zote za Tanzania wazee wanaishi kwa amani.

Jitahidi kuishi kama Babu yako ili nawe uache Legacy ya kukumbukwa kama ya Babu yako.
Respect
 
Pole sana,,,amefariki siku moja na John Glenn(mmarekan wa kwanza kuzunguka anga la dunia,,naye amefariki jana akiwa na miaka 95)
 
Pole sana mkuu, kumpoteza mzazi ni habari ngumu kuipitia
 
Pole sana braza.

Huendi kumzika babu?
 
95 unamajonzii

Huyoookapumzika yukosehemu sahihii mwoombeeni NA walamsiliee
 
Wachaga tunaweka NA matarumbeta kumshukuru MUNGUU KWANZA AMETUMIKA VIZURI KWA KUMWAGA WATOTO WAJUKUU WENYE IDADI KAMILI YA KUTUONGEZEA MAPATO YA TRA HUKO MBELENI BIGUP BABUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…