WanaJF huwa na kawaida ya kuzipitia update za mawaziri wa Afya wote wawili wa SMT na SMZ ambazo huzitoa takriban kila siku zikitupa hali halisi ya kinachoendelea katika idadi ya wagonjwa na waliopona, kuwekwa karantini au kufariki (Mola awarehemu)
Ni hatua nzuri na ya kupongezwa kwani inatupa uhalisia wa kujua nini kinachoendelea hasa baada ya kutuhibitishia kwamba sasa tupo kwenye Local na Community transmission ambazo ufuatiliaji wake huwa ni mgumu kuwabaini ni nani ambao utawafuatilia (Contact traces). wenzetu Korea Kusini pamoja na china walitumia App kulidhibiti hili
Muktadha wa andiko langu ni kwamba taarifa hizi hazitupi updates zozote kutokas serikalini vipi wamejipanga na hatua gani zilizochukuliwa day by day kulithibiti janga hili hichi sikioni kwenye updates za Mawaziri.
kwa mfano Je tuna Ventilators ngapi? Je tumeorder nyengine ngapi?
Tuna testing kit ngapi? Na ngapi tumeorder?
Tuna personal protective Equipments ( vifaa vya kujikinga) vingapi na vingapi tumeoprder na lini vitawasili?
Tuna mobile testing ngapi mfano kesi ys ya Corona imetokea mpakani Mbeya, Kigoma, Horohoro hadi ifike Darisalama kwenye kituo pekee cha kupimia huchukua muda gani naona hatusikii maelezo yoyote.
Tumepata misaada ya aina gani kutoka nchi wahisani kukabiliana na janga la Corona ?
Nadhani kaama kutakuwa na waandishi wakati wa press briefing wajikite kudadidisi haya maana ni muhimu zaidi kujua jinsi serikalli ilivyojipanga kukabiliana na janga hili ambalo tunamoumba Mola atuvushe salama.
Nawasilisha