Taarifa za Mawaziri wa Afya hazituoneshi mikakati zinatupa Datas tu

Amrah

Member
Feb 22, 2009
8
7
WanaJF huwa na kawaida ya kuzipitia update za mawaziri wa Afya wote wawili wa SMT na SMZ ambazo huzitoa takriban kila siku zikitupa hali halisi ya kinachoendelea katika idadi ya wagonjwa na waliopona, kuwekwa karantini au kufariki (Mola awarehemu)

Ni hatua nzuri na ya kupongezwa kwani inatupa uhalisia wa kujua nini kinachoendelea hasa baada ya kutuhibitishia kwamba sasa tupo kwenye Local na Community transmission ambazo ufuatiliaji wake huwa ni mgumu kuwabaini ni nani ambao utawafuatilia (Contact traces). wenzetu Korea Kusini pamoja na china walitumia App kulidhibiti hili

Muktadha wa andiko langu ni kwamba taarifa hizi hazitupi updates zozote kutokas serikalini vipi wamejipanga na hatua gani zilizochukuliwa day by day kulithibiti janga hili hichi sikioni kwenye updates za Mawaziri.

kwa mfano Je tuna Ventilators ngapi? Je tumeorder nyengine ngapi?

Tuna testing kit ngapi? Na ngapi tumeorder?

Tuna personal protective Equipments ( vifaa vya kujikinga) vingapi na vingapi tumeoprder na lini vitawasili?

Tuna mobile testing ngapi mfano kesi ys ya Corona imetokea mpakani Mbeya, Kigoma, Horohoro hadi ifike Darisalama kwenye kituo pekee cha kupimia huchukua muda gani naona hatusikii maelezo yoyote.

Tumepata misaada ya aina gani kutoka nchi wahisani kukabiliana na janga la Corona ?

Nadhani kaama kutakuwa na waandishi wakati wa press briefing wajikite kudadidisi haya maana ni muhimu zaidi kujua jinsi serikalli ilivyojipanga kukabiliana na janga hili ambalo tunamoumba Mola atuvushe salama.

Nawasilisha
 
hivi nani anaendesha nchi/serikali ?
kwa sababu jana kama sio juzi Rais akiwa chato alisema hafungi mipaka,jana usiku tena nimesoma taarifa kwamba anga ya tanzania imefungwa (anga pia ni mpaka wa nchi)
 
nilipoona serikali imeanza kupitisha bakuri nilijua tumekwisha. na tutaisha kweli.

mikusanyiko bado ipo

makanisani
misikitini
baadhi ya vikao vinaendelea (bunge)
mipaka bado iko wazi.

hawasemi wana vifaa vingapi vya kusaidia upumuaji hali ikiwa mbaya.

ikitokea hali ikawa tete huduma muhimu kama chakula na maji itakuwaje.

rais anasema twendelee kusali hawezi kufunga mipaka. sijui serikali inaamini dini ipi. wakati hata sisi wakristo bado tunajikinga kwa kunawa mikono wakati wa inada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WanaJF huwa na kawaida ya kuzipitia update za mawaziri wa Afya wote wawili wa SMT na SMZ ambazo huzitoa takriban kila siku zikitupa hali halisi ya kinachoendelea katika idadi ya wagonjwa na waliopona, kuwekwa karantini au kufariki (Mola awarehemu)

Ni hatua nzuri na ya kupongezwa kwani inatupa uhalisia wa kujua nini kinachoendelea hasa baada ya kutuhibitishia kwamba sasa tupo kwenye Local na Community transmission ambazo ufuatiliaji wake huwa ni mgumu kuwabaini ni nani ambao utawafuatilia (Contact traces). wenzetu Korea Kusini pamoja na china walitumia App kulidhibiti hili

Muktadha wa andiko langu ni kwamba taarifa hizi hazitupi updates zozote kutokas serikalini vipi wamejipanga na hatua gani zilizochukuliwa day by day kulithibiti janga hili hichi sikioni kwenye updates za Mawaziri.

kwa mfano Je tuna Ventilators ngapi? Je tumeorder nyengine ngapi?

Tuna testing kit ngapi? Na ngapi tumeorder?

Tuna personal protective Equipments ( vifaa vya kujikinga) vingapi na vingapi tumeoprder na lini vitawasili?

Tuna mobile testing ngapi mfano kesi ys ya Corona imetokea mpakani Mbeya, Kigoma, Horohoro hadi ifike Darisalama kwenye kituo pekee cha kupimia huchukua muda gani naona hatusikii maelezo yoyote.

Tumepata misaada ya aina gani kutoka nchi wahisani kukabiliana na janga la Corona ?

Nadhani kaama kutakuwa na waandishi wakati wa press briefing wajikite kudadidisi haya maana ni muhimu zaidi kujua jinsi serikalli ilivyojipanga kukabiliana na janga hili ambalo tunamoumba Mola atuvushe salama.

Nnawasilisha
Mkakati ni kuendelea kuchapa kazi na kusali sana unataka mkakati gani tena?
 
Mikakati hakuna, kubwabwaja tu fulani kafa, fulani kapona, fulani yuko hospitali, fulani katoroka hospitali.

Very primitive!
 
hivi nani anaendesha nchi/serikali ?
kwa sababu jana kama sio juzi Rais akiwa chato alisema hafungi mipaka,jana usiku tena nimesoma taarifa kwamba anga ya tanzania imefungwa (anga pia ni mpaka wa nchi)
Acha uvivu wewe chapa kazi nchi IPO kwenye Automatic mode
 
Serikali ya kukusanya, kisha tumia. Haijui ni kwa nini wenzetu huwa wanakitu kinaitwa "savings", tumeshikwa pabaya!! Sasa hatuwezi chukua hatua yeyote maana mifuko iko "empty". Tuendelee kuchapa kazi tuisaidie Serikali kukusanya, la sivyo hata watumishi wa umma watacheza gwaride, kiufupi tutasimama wima!!
 
Gonjwa hili lipo na halina dawa, tujikinge usisambae:

HOW COVID-19 KILLS--I'm a Surgeon--And Why We Can't Save You

SARS2-Covid-19 virus can cause severe problems. This happens when it moves down the respiratory tract and infects the lungs, which are even richer in cells with Ace-2 receptors. Many of these cells are destroyed, and lungs become congested with bits of broken cell. In these cases, patients will require treatment in intensive care.
Even worse, in some cases, a person’s immune system goes into overdrive, attracting cells to the lungs in order to attack the virus, resulting in inflammation. This process can run out of control, more immune cells pour in, and the inflammation gets worse. This is known as a cytokine storm. (In Greek, “cyto” means cell and “kino” means movement.) In some cases, this can kill the patient.
Just why cytokine storms occur in some patients but not in the vast majority is unclear. One possibility is that some people have versions of Ace-2 receptors that are slightly more vulnerable to attacks from the coronavirus than are those of most people.

Source : Duc C. Vuong
 
Serikali ya kukusanya, kisha tumia. Haijui ni kwa nini wenzetu huwa wanakitu kinaitwa "savings", tumeshikwa pabaya!! Sasa hatuwezi chukua hatua yeyote maana mifuko iko "empty". Tuendelee kuchapa kazi tuisaidie Serikali kukusanya, la sivyo hata watumishi wa umma watacheza gwaride, kiufupi tutasimama wima!!
Serikali imeifilisi nchi na yenyewe imefilisika patamu hapo
Kitakachofanyika ni kuchapisha noti na thamani ya shilingi yetu inaenda kuporomoka vibaya sana
Huu ndio wakati wa kuing'oa hii serikali ya ccm
 
Hivi ndio vitu vya kuhoji kwa jamii ya watu wanaojitambua

Serikali itupe majibu
Mikakati
Hatua za dharura
Hali ya chakula na dawa
Maji
Hospitali zimeandaliwaje
Uwezo na uelewa wa wauguzi
Upatikanaji wa vifaa tiba

Serikali itupe majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishaambiwa nchi umejipanga kupambana na corona sasa unataka mipango gani tena mkuu............
Wamejifungia wanapika data kwanza
1586773641376.png
 
Serikali ya kukusanya, kisha tumia. Haijui ni kwa nini wenzetu huwa wanakitu kinaitwa "savings", tumeshikwa pabaya!! Sasa hatuwezi chukua hatua yeyote maana mifuko iko "empty". Tuendelee kuchapa kazi tuisaidie Serikali kukusanya, la sivyo hata watumishi wa umma watacheza gwaride, kiufupi tutasimama wima!!
Hapana mkuu kwa mujibu wa Magufuli serikali inazopesa za kuendesha nchi kwa miezi mitano bila kukusanya Kodi,hivyo usihofu tembea kifua mbele
 
Hivi ndio vitu vya kuhoji kwa jamii ya watu wanaojitambua

Serikali itupe majibu
Mikakati
Hatua za dharura
Hali ya chakula na dawa
Maji
Hospitali zimeandaliwaje
Uwezo na uelewa wa wauguzi
Upatikanaji wa vifaa tiba

Serikali itupe majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Piga kazi tena mzalishe chakula kwa wingi ili kusudio wakenya na wanyarwanda wakitoka kucoronwa muwapige hela in lafudhi ya kisukuma
 
Back
Top Bottom