Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,879
- 8,800
Swali lako naliforward huku chato, Bia yetu tusaidie kuomba majibu ya maswali ya huyu mdauMawazo yako ni mazuri
Swali la kujiuliza ni kwamba wakati sisi tunafanya kazi tuna kinga dhidi ya korona?
Sisi ni wa kipekee kuliko watu wengine duniani?
Sent using Jamii Forums mobile app