Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,501
- 6,200
Kuna mwenzako alishawahi kuhukumiwa kwa kosa la kufanya ujasusi kwa kukusanya taarifa kama hizi anazituma kwa mabeberu,bro kua makini sana na kila unachozungumza hadharani,utakuja kutesa ndugu zako bureHabari wakuu.
Naomba kufahamishwa taarifa zifuatazo kuhusu Bugando Medical Center.
Wilaya iliyopo
Kata iliyopo
Mtaa iliyopo.
Asanteni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app