Taarifa za hospitali ya rufaa kanda, Bugando

Nadhani pale Mwanza mjini kuna wilaya mbili Nyamagana na Ilemela. Ila sina uhakika Bugando ipo wapi kati ya wilaya hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyamagana ndo Mwanza City yenyewe...Kuna document nilikuwa najaza nikaambiwa nijaze Mwanza City badala ya Nyamagana...Ilemela ni Ilemela Municipal... Kama una lengo la kuitafuta ilipo basi tumia Nyamagana sababu ndo imezoeleka...Ila kama ni kujaza Official document nadhani inayotumika ni Mwanza City... Anyway subir maoni ya wadau wengine.
 
Kwani kitambulisho cha uraia ulikipataje? Maana bila hicho kupata passport haiwezekani.
Wamebashiri, sema na wasiwasi wameingia chaka, maana wameandika nimezaliwa kata ya Bugando iliyopo wilaya ya Kwimba.

Wakati mimi nilijaza. Kata Bugando mtaa Bugando

Ndio maana nimekuja humu kuuliza ili walau niwe na taarifa sahihi ya sehemu nilipozaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kata ya bugando kwenye wilaya ya kwimba,halafu kwimba ipo mbali sana na mwanza mjini
 
Back
Top Bottom