Taarifa za hospitali ya rufaa kanda, Bugando

Habari wakuu.

Naomba kufahamishwa taarifa zifuatazo kuhusu Bugando Medical Center.
Wilaya iliyopo
Kata iliyopo
Mtaa iliyopo.

Asanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwenzako alishawahi kuhukumiwa kwa kosa la kufanya ujasusi kwa kukusanya taarifa kama hizi anazituma kwa mabeberu,bro kua makini sana na kila unachozungumza hadharani,utakuja kutesa ndugu zako bure

Umeona kabisa ametoa sababu kwanini anatafuta taarifa hizi na bado unataka kumtisha hapa! Hao Mabeberu kama wanahitaji hizo taarifa za Hospital ya Bugando wanahitaji kweli kutumia njia hii wakati pale pana “Mabeberu” wengi tu wanafanya kazi
 
Back
Top Bottom