Kama kweli wewe ni mdau kwenye huo mfuko utakuwa umeshasikia malalamiko kuwa 90% ya wanafunzi waliojaza fomu ni Wachagga na wanachama wa Chadema.
Ndiyo sera ya cdm kujenga matabaka ya kikabila na kichama?
Arusha kuna Wamasai, Waarusha, Wasonjo, Wameru nk nk. Kwa nini wao watengewe 10% tu?
Tunatilia shaka madhumuni ya kuanzisha mfuko huo.
duh unaongea kama vile lema amefanya maovu makuubwa kama EL,JK,CHENGE na wengine wote walioko madarakani chini ya ccm.sishabikii chama chochote ila ukweli upo palepale tumefika hapa tulipo kwa sababu ya viongozi wasiojua nini maana ya madaraka.na swala la kusoma mbona kila mahali wapoambao shule haijakaa sawa na ni wawakilishi wazuri?MTU ANAZALIWA AKIWA TAYARI NI KIONGOZI NA SHULE INAMUONGEZEA SIFA!heshimu uchaguzi wa wenzako hata kama haujaupenda!je shule yako imekukomboa wapi kama bado si mstaarabu?ulikuwa unacopy vitabu bila kuelewa unatakiwa uishi vipi na wenzio.watu wa arusha si wapuuzi kumchagua lema ingawa wewe unataka waonekane hivyo!unakera bana jirekebishe!Atasimamiaje utawala wa sheria wakati yeye ana rekodi mbaya ya kihalifu?
Tarehe 18-12-2010 Lema alipigwa sana mpaka kuzimia na 5-1-2011 Lema + viongozi, wanachama na wapenzi wa Chadema walipigwa sana na kupelekea vifo vya watu watatu, sasa inafika wakati waziri anaanza kuudanganya wananchi juu ya jambo hilo, mtu kama huyu utamfanya nini binafsi hata kumwambia muongo ni kumheshimu sana alipaswa ampe lile lenyewe kabisa...Hivi Lema alisema PM ni muongo, au aliuliza kitu gani kitafanyika endapo PM atalidanganya bunge?
Hiyo kauli sioni kama inamaanisha kumuita PM muongo!
Lakini nafasi aliyopewa ataitumia kuweka kile anachoamini ni ukweli mbele ya watanzania!
Kumbukeni hukumu ya haki utolewa na watanzania, hivyo kama Lema ataonewa na wabunge wa ccm kama alivyotokea kwa Zitto enzi zile basi watanzania wataonyesha haki iko wapi?
Sijasema kuwa elimu yake haimruhusu kuwa bungeni, la hasha, anastahili kuwepo kama walivyo profesa Maji M,arefu na Airo uliyemtaja.
Nilichosema ni kwamba elimu yake na malezi yake ya kisiasa (siasa za cdm) yanamfanya afanye vituko vya kipuuzi bungeni.
Hii kweli siasa!Lema amekuwa mbumbu akidhani taarifa atakayowasilisha bungeni kulingana na maagizo ya Spika itamnusuru kwa Waziri Mkuu kuonekana kweli kadanganya Bunge na wananchi.Lema hatokuwa na cha ziada mbali na taarifa ileile iliyofahamika kama Tamko la Chadema juu ya Mauaji Arusha ambayo imekwisha tolewa na Viongozi wa Chadema na kutaka Nahodha na Mwema kujiuzuru.Mambo yatakuwa kama ifuatavyo:
1)Lema atawasilisha utetezi wake ambao nadhani hautakuwa na jipya mbali ya yale tuliyoyasikia katika media na wengine kujionea.Hapa msingi mkuu wa Lema itakuwa kusisitiza kuwa ilikuwa haki ya kikatiba chadema kuandama na kwa kuwa ilikuwa imekubalika na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Arusha.Hapa kosa la Polisi ni kuuwa Raia japo mpaka sasa haijajibiwa kama wenzetu waliuwawa kabla ya kutolewa amri na Viongozi wa Chadema kwa wafuasi kwenda kuwakomboa Lema na wenzie ama baada ya kauli hiyo ya ukombozi.
2)Upande wa Serikali ni dhahiri sababu zao zimekwisha tolewa kuwa maandamano yalikuwa haramu isipokuwa mkutano ulikuwa halali kutokana na kauli ya IGP Mwema kabla ya kikao cha tarehe 5/1/2011.Polisi walilazimika kutumia nguvu pindi Chadema walipolazimisha maandamano na matukio ya vifo vya wenzetu yalitokana na uchochezi wa Viongozi wa Chadema hasa baada ya kuamuru Lema na wenzie wawe wamekombolewa kutoka katika kituo cha Polisi na kufikishwa katika viwanja vya Unga Ltd ndani ya saa moja.Polisi walitumia risasi kama final resolution baada ya kuona wanazidiwa nguvu na vijana wa Chadema waliokuwa na munkari wa hali ya juu wakitaka kuvamia kituo chenye silaha lukuki.Ni dhahiri hapa ndipo serikali inasema bahati mbaya wenzetu watatu waliuwawa.
Bungeni huu ni mtego tu ili haki ionekane kutendeka na Lema ameadhibiwa kwa kufungiwa kuhudhuria vikao visivyopungua vitano bungeni na kulazimika kufuta kauli yake.Na imani kwa bunge ninaloliona mchango wa kile atakacho kiwasilisha Lema uta kuwa ule wa Mudhihir na Zitto kabwe.Lema ata kama anadhani utetezi wake utakuwa extraordinary asitarajie maamuzi yatam-favour.
Hii kweli siasa!
Nionavyo mimi hatima ya suala hili ni pale tutakapo pata jibu la kuku na yai kipi kilitangulia?.
Jipe moyo lakini mmechagua garasha safari hii.
Lema hajui siasa, mbaya zaidi hakwenda shule, pia ana historia ya kuwa na kesi kesi zilizomchafulia jina hapo Arusha.
You mean ka Jackob zuma,Nelson Mandela,:clap2:Jipe moyo lakini mmechagua garasha safari hii.
Lema hajui siasa, mbaya zaidi hakwenda shule, pia ana historia ya kuwa na kesi kesi zilizomchafulia jina hapo Arusha.
Hana jipya.
Lema bado ni kinda kisiasa. Anadhani siasa zinaendeshwa kihuni.
Semina aliyohudhuria Ubungo ilikuwa bure, pesa za serikali zilipotea pale.
Bila shaka upeo wake ulivyo unatokana na elimu yake pamoja na malezi aliyopewa na chama chake.
Hatuna cha kufanya, machalii wa Arusha wamemchagua.
Hata hivyo bado kidogo tu watatambua kuwa imekula kwao - ni hasara ya miaka 5.

Hili nalo ni la kupelekwa bungeni? Hao Madiwani kazi zao zitakuwa zipi?.... mji wa kimataifa mchafu na mengine mengi ambayo tunahakika msela anamudu
Batilda anamjua zaidi lema kama anapitaga humu aweke wasifu wake
Hii kweli siasa!Lema amekuwa mbumbu akidhani taarifa atakayowasilisha bungeni kulingana na maagizo ya Spika itamnusuru kwa Waziri Mkuu kuonekana kweli kadanganya Bunge na wananchi.Lema hatokuwa na cha ziada mbali na taarifa ileile iliyofahamika kama Tamko la Chadema juu ya Mauaji Arusha ambayo imekwisha tolewa na Viongozi wa Chadema na kutaka Nahodha na Mwema kujiuzuru.Mambo yatakuwa kama ifuatavyo:
1)Lema atawasilisha utetezi wake ambao nadhani hautakuwa na jipya mbali ya yale tuliyoyasikia katika media na wengine kujionea.Hapa msingi mkuu wa Lema itakuwa kusisitiza kuwa ilikuwa haki ya kikatiba chadema kuandama na kwa kuwa ilikuwa imekubalika na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Arusha.Hapa kosa la Polisi ni kuuwa Raia japo mpaka sasa haijajibiwa kama wenzetu waliuwawa kabla ya kutolewa amri na Viongozi wa Chadema kwa wafuasi kwenda kuwakomboa Lema na wenzie ama baada ya kauli hiyo ya ukombozi.
2)Upande wa Serikali ni dhahiri sababu zao zimekwisha tolewa kuwa maandamano yalikuwa haramu isipokuwa mkutano ulikuwa halali kutokana na kauli ya IGP Mwema kabla ya kikao cha tarehe 5/1/2011.Polisi walilazimika kutumia nguvu pindi Chadema walipolazimisha maandamano na matukio ya vifo vya wenzetu yalitokana na uchochezi wa Viongozi wa Chadema hasa baada ya kuamuru Lema na wenzie wawe wamekombolewa kutoka katika kituo cha Polisi na kufikishwa katika viwanja vya Unga Ltd ndani ya saa moja.Polisi walitumia risasi kama final resolution baada ya kuona wanazidiwa nguvu na vijana wa Chadema waliokuwa na munkari wa hali ya juu wakitaka kuvamia kituo chenye silaha lukuki.Ni dhahiri hapa ndipo serikali inasema bahati mbaya wenzetu watatu waliuwawa.
Bungeni huu ni mtego tu ili haki ionekane kutendeka na Lema ameadhibiwa kwa kufungiwa kuhudhuria vikao visivyopungua vitano bungeni na kulazimika kufuta kauli yake.Na imani kwa bunge ninaloliona mchango wa kile atakacho kiwasilisha Lema uta kuwa ule wa Mudhihir na Zitto kabwe.Lema ata kama anadhani utetezi wake utakuwa extraordinary asitarajie maamuzi yatam-favour.
Hii kweli siasa!
Nionavyo mimi hatima ya suala hili ni pale tutakapo pata jibu la kuku na yai kipi kilitangulia?.
Kama kweli wewe ni mdau kwenye huo mfuko utakuwa umeshasikia malalamiko kuwa 90% ya wanafunzi waliojaza fomu ni Wachagga na wanachama wa Chadema.
Ndiyo sera ya cdm kujenga matabaka ya kikabila na kichama?
Arusha kuna Wamasai, Waarusha, Wasonjo, Wameru nk nk. Kwa nini wao watengewe 10% tu?
Tunatilia shaka madhumuni ya kuanzisha mfuko huo.
We kishogo si unajulikana kuwa mwendawazimu na unalipwa na mafisadi ili kuwasafisha humu JF. Vijikanuni vya bunge sio kitu kigumu kama nyie vishoka mnavyodhania, weka upumbavu wako pembeni. Kanuni za bunge hazimaanishi waziri mkuu akisema uongo watu wamuangalie tu.Hana jipya.
Lema bado ni kinda kisiasa. Anadhani siasa zinaendeshwa kihuni.
Semina aliyohudhuria Ubungo ilikuwa bure, pesa za serikali zilipotea pale.
Bila shaka upeo wake ulivyo unatokana na elimu yake pamoja na malezi aliyopewa na chama chake.
Hatuna cha kufanya, machalii wa Arusha wamemchagua.
Hata hivyo bado kidogo tu watatambua kuwa imekula kwao - ni hasara ya miaka 5.
90% Wamejaza Fomu kuomba wasaidiwe kusoma niwachagga. Fomu zinapatikana kwa wanachama wa CDM waliowachagga tu au una maana ukijaza fomu tayari umekwisha chaguliwa??
Sasa hao 10% Wndengeleko wako wangapi? Wamsai wako wangap?i Waarusha wako wangapi? Wameru wako wangapi" Au kwa ujumla tupe mchanganyiko wa makabila katika 10% iliyobaki.
<br />Ni vigumu kujadili wananchi kama hawa wanao andika hizi opinions zao humu ndani ya JF kwa kukaa upande mmoja wa CCM siku zote. Hivi nyie ni binadamu au? Acha kuwa
"Political" mahali pasipo political. Kitu gani kili walazimisha polisi kwenda kuzuia maandamano? Kibali kilitolewa na siku moja baada ya maandalizi ya wananchi wa Chadema kujiandaa kukutana na kusikiliza viongozi wao mnakuja kusema kuna hatari imetoka kwenye kitelejinsia. <b>Tunaomba huo utelejensia mliokuwa nao nini?</b> Hili ndilo swali Pinda na CCM lazima mjibu kwa sababu uonevu na vitisho kwa wananchi mnafikiri vitaendelea mpaka lini. Jeshi la polisi na FFU sio la chama kimoja ni vyombo vya wananchi na humo FFU kuna wanachama wa Chadema kama hamjui. Tukienda kwenye tukio lenyewe la kupiga risasi, tuaona wananchi walikuwa wanatembea na kufurahia siku yao mpaka polisi walipo jitokeza kama nyoka shimoni. Polisi walipotokea na kuanza kupiga risasi na kuwachukua viongozi na wanachama wa Chadema hapo ndio "hell" ilioanza na kila Mtanzania aliekuwepo atakueleza hili. <b>Kuna mashahidi wananchi na kuna videos za hili tukio na huu ujuzi wa kutumia ofisi za serikali, polisi na sasa bungeni kuwadanganya wananchi hatutakubadikila kamwe. </b> Tunataka ushahidi wa Pinda uje mbele ya taifa na Chadema watatoa wao pia. Wanachama wa CCM mnaonekana kama akili zenu na upofu wenu hata televisions hamkuzifungua kuona Misri, Pharaoh Mubarak alipoanguka na kufukuzwa na wananchi wake. <b>Kilicho tokea Misri ni kwamba wananchi walikuwa wanaishi kwenye "military emergency laws" na Fear ndio ilikuwa inawafanya kuogopa kwenda hata kuandamana, hii Fear ilipoondoka tumeona Tahrir Square ilivyobadilisha Misri na prospective ya dunia. Wananchi wa Tanzania wapo karibu ya Tahrir Square na tunasogea tupo hatua kumi tu. Nyie ccm endeleeni kujitia kamba shingoni...</b>