Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,254
- 906
Joseph Sinde Warioba alisema, "UKIKUTA MAHALI MAWAZO YA VIJANA NA WAZEE YANAFANANA UJUE HAPO PAMEDUMAA"
Nakubaliana na Waziri Mkuu Mstaafu kwa asilimia 100%. Bunge la sasa ni la mchanganyiko wa wazee na vijana. Wazee waliomo bungeni hawajazoea mikiki mikiki ya vijana, hivyo watakuwa wanatafuta namna ya kuwa adhibu kila kikao
Nawashauri wazee WAACHIE NGAZI mapema maana kijana aliezoea kukaa kijiweni miaka nenda miaka rudi, hashituki wala hawezi kunyenyekea posho za vikao. Sana sana anakuwa sugu mwisho iko siku mzee akiongea ugoro kama alio ongea Shibuda jana, atapewa ndonga ya pua atoke mchuzi.
Wazee waone aibu kukaa na watoto kama si wajukuu meza moja bungeni kujadili masuala ya Taifa. Wazee wa CCM ndo wametufikisha hapa tulipo, wawa achie vijana nao tuone mambo yao, vinginenvo wasubiri kugawiwa maumivu makali. Vijana hawataendelea kuvumilia kumvunjia heshima mbele ya umma! Tusubiri tuone!