FDR.Jr
JF-Expert Member
- Jun 17, 2008
- 1,359
- 353
KISHONGO WEWE NI MTU WA AJABU AMBAYE UNAPENDA KUWAFANYA WOTE WAJINGA HAPA NDANI! Mh. Pinda kwa mdomo wake ametamka wazi kuwa wameuawa waTz 3 wewe unasema watu 3 wewe ni mwehu inamaana sote hapa tunapenda cheap politics,nakuabaliana sana na wana Jf kuwa Pinda aliitumia vizuri fursa aliyoipata toka kwa Mbowe juu ya sakata la Arusha na mh. Spika ndio kamharibia sana Pinda baada kukurupuka ktk directive zake against Mh. Lema! CCM tutake tusitake hapo tutakunywa maji makali ya taarifa ya Lema kwani iko wazi sana na mmoja moja ni hiyo kutamka waTz 3 na mengineyo. .. Ambayo hatukutaka yaanikwe hadharani bungeni laki sasa yataanikwa na wabunge watashiriki kuhukumu in favour of mh. Pinda but ujumbe wa CDM wenye makali utawafikia waTz3