apolycaripto
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 644
- 225
...Mbona mimi nilivyoelewa ni kwamba uongo wa Pinda ni jinsi alivyoelezea kiini cha matatizo ya arusha ambayo kimsingi ni upatikanaji wa meya wa Arusha..mauaji ni matokeo ya upatikanaji wa meya + kukamatwa kwa viongozi na kudhuiliwa licha ya wana sheria kutimiza hatua zote za kisheria juu ya kuwawekea mdhamana.Hii kweli siasa!Lema amekuwa mbumbu akidhani taarifa atakayowasilisha bungeni kulingana na maagizo ya Spika itamnusuru kwa Waziri Mkuu kuonekana kweli kadanganya Bunge na wananchi.Lema hatokuwa na cha ziada mbali na taarifa ileile iliyofahamika kama "Tamko la Chadema" juu ya Mauaji Arusha ambayo imekwisha tolewa na Viongozi wa Chadema na kutaka Nahodha na Mwema kujiuzuru.Mambo yatakuwa kama ifuatavyo:
1)Lema atawasilisha utetezi wake ambao nadhani hautakuwa na jipya mbali ya yale tuliyoyasikia katika media na wengine kujionea.Hapa msingi mkuu wa Lema itakuwa kusisitiza kuwa ilikuwa haki ya kikatiba chadema kuandama na kwa kuwa ilikuwa imekubalika na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Arusha.Hapa kosa la Polisi ni kuuwa Raia japo mpaka sasa haijajibiwa kama wenzetu waliuwawa kabla ya kutolewa amri na Viongozi wa Chadema kwa wafuasi kwenda kuwakomboa Lema na wenzie ama baada ya kauli hiyo ya ukombozi.
2)Upande wa Serikali ni dhahiri sababu zao zimekwisha tolewa kuwa maandamano yalikuwa haramu isipokuwa mkutano ulikuwa halali kutokana na kauli ya IGP Mwema kabla ya kikao cha tarehe 5/1/2011.Polisi walilazimika kutumia nguvu pindi Chadema walipolazimisha maandamano na matukio ya vifo vya wenzetu yalitokana na uchochezi wa Viongozi wa Chadema hasa baada ya kuamuru Lema na wenzie wawe wamekombolewa kutoka katika kituo cha Polisi na kufikishwa katika viwanja vya Unga Ltd ndani ya saa moja.Polisi walitumia risasi kama "final resolution" baada ya kuona wanazidiwa nguvu na vijana wa Chadema waliokuwa na "munkari" wa hali ya juu wakitaka kuvamia kituo chenye silaha lukuki.Ni dhahiri hapa ndipo serikali inasema "bahati mbaya" wenzetu watatu waliuwawa.
Bungeni huu ni mtego tu ili haki ionekane kutendeka na Lema ameadhibiwa kwa kufungiwa kuhudhuria vikao visivyopungua vitano bungeni na kulazimika kufuta kauli yake.Na imani kwa bunge ninaloliona mchango wa kile atakacho kiwasilisha Lema uta kuwa ule wa Mudhihir na Zitto kabwe.Lema ata kama anadhani utetezi wake utakuwa "extraordinary" asitarajie maamuzi yatam-favour.
Hii kweli siasa!
Nionavyo mimi hatima ya suala hili ni pale tutakapo pata jibu la kuku na yai kipi kilitangulia?.
Alipohojiwa na waandishi,lema alisema asingependa kuongelea suala hilo ili asidhoofishe ushahidi wake.lazima ana kitu kipya.
Hana jipya.
Lema bado ni kinda kisiasa. Anadhani siasa zinaendeshwa kihuni.
Semina aliyohudhuria Ubungo ilikuwa bure, pesa za serikali zilipotea pale.
Bila shaka upeo wake ulivyo unatokana na elimu yake pamoja na malezi aliyopewa na chama chake.
Hatuna cha kufanya, machalii wa Arusha wamemchagua.
Hata hivyo bado kidogo tu watatambua kuwa imekula kwao - ni hasara ya miaka 5.
Crashwise hat mimi ndivyo nilivyoelewa lakini nashangaa watu wamejikita kwenye vurugu za 05.01.2011....Mbona mimi nilivyoelewa ni kwamba uongo wa Pinda ni jinsi alivyoelezea kiini cha matatizo ya arusha ambayo kimsingi ni upatikanaji wa meya wa Arusha..mauaji ni matokeo ya upatikanaji wa meya + kukamatwa kwa viongozi na kudhuiliwa licha ya wana sheria kutimiza hatua zote za kisheria juu ya kuwawekea mdhamana.
uzoefu upi unauzungumzia, Nyerere wakati anachukua nchi alikuwa na uzoefu upi?Hana jipya.
Lema bado ni kinda kisiasa. Anadhani siasa zinaendeshwa kihuni.
Semina aliyohudhuria Ubungo ilikuwa bure, pesa za serikali zilipotea pale.
Bila shaka upeo wake ulivyo unatokana na elimu yake pamoja na malezi aliyopewa na chama chake.
Hatuna cha kufanya, machalii wa Arusha wamemchagua.
Hata hivyo bado kidogo tu watatambua kuwa imekula kwao - ni hasara ya miaka 5.
uzoefu upi unauzungumzia, Nyerere wakati anachukua nchi alikuwa na uzoefu upi?
acha dharau kwa umma wa arusha.ni lema huyuhuyu kupitia NCCR alimpeleka puta Felix mrema katika uchaguzi wa 2005.sasa uzoefu wa siasa si tatizo kwake.
He is aggressive because he experienced the problems of arusha residents.the issue is not uzoefu wa siasa but to represent and present matarajio ya waliokuchagua.
Hii kweli siasa!Lema amekuwa mbumbu akidhani taarifa atakayowasilisha bungeni kulingana na maagizo ya Spika itamnusuru kwa Waziri Mkuu kuonekana kweli kadanganya Bunge na wananchi.Lema hatokuwa na cha ziada mbali na taarifa ileile iliyofahamika kama "Tamko la Chadema" juu ya Mauaji Arusha ambayo imekwisha tolewa na Viongozi wa Chadema na kutaka Nahodha na Mwema kujiuzuru.Mambo yatakuwa kama ifuatavyo:
1)Lema atawasilisha utetezi wake ambao nadhani hautakuwa na jipya mbali ya yale tuliyoyasikia katika media na wengine kujionea.Hapa msingi mkuu wa Lema itakuwa kusisitiza kuwa ilikuwa haki ya kikatiba chadema kuandama na kwa kuwa ilikuwa imekubalika na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Arusha.Hapa kosa la Polisi ni kuuwa Raia japo mpaka sasa haijajibiwa kama wenzetu waliuwawa kabla ya kutolewa amri na Viongozi wa Chadema kwa wafuasi kwenda kuwakomboa Lema na wenzie ama baada ya kauli hiyo ya ukombozi.
2)Upande wa Serikali ni dhahiri sababu zao zimekwisha tolewa kuwa maandamano yalikuwa haramu isipokuwa mkutano ulikuwa halali kutokana na kauli ya IGP Mwema kabla ya kikao cha tarehe 5/1/2011.Polisi walilazimika kutumia nguvu pindi Chadema walipolazimisha maandamano na matukio ya vifo vya wenzetu yalitokana na uchochezi wa Viongozi wa Chadema hasa baada ya kuamuru Lema na wenzie wawe wamekombolewa kutoka katika kituo cha Polisi na kufikishwa katika viwanja vya Unga Ltd ndani ya saa moja.Polisi walitumia risasi kama "final resolution" baada ya kuona wanazidiwa nguvu na vijana wa Chadema waliokuwa na "munkari" wa hali ya juu wakitaka kuvamia kituo chenye silaha lukuki.Ni dhahiri hapa ndipo serikali inasema "bahati mbaya" wenzetu watatu waliuwawa.
Bungeni huu ni mtego tu ili haki ionekane kutendeka na Lema ameadhibiwa kwa kufungiwa kuhudhuria vikao visivyopungua vitano bungeni na kulazimika kufuta kauli yake.Na imani kwa bunge ninaloliona mchango wa kile atakacho kiwasilisha Lema uta kuwa ule wa Mudhihir na Zitto kabwe.Lema ata kama anadhani utetezi wake utakuwa "extraordinary" asitarajie maamuzi yatam-favour.
Hii kweli siasa!
Nionavyo mimi hatima ya suala hili ni pale tutakapo pata jibu la kuku na yai kipi kilitangulia?.
Hana jipya.
Lema bado ni kinda kisiasa. Anadhani siasa zinaendeshwa kihuni.
Semina aliyohudhuria Ubungo ilikuwa bure, pesa za serikali zilipotea pale.
Bila shaka upeo wake ulivyo unatokana na elimu yake pamoja na malezi aliyopewa na chama chake.
Hatuna cha kufanya, machalii wa Arusha wamemchagua.
Hata hivyo bado kidogo tu watatambua kuwa imekula kwao - ni hasara ya miaka 5.
kwa taarifa yako nasisitiza pinda amelidanganya bunge na wenyenchi, kasema walikufa watanzania watatu,ukweli walikufa watanzania wawili, huo ni uongo wa kwanza, .
Jipe moyo lakini mmechagua garasha safari hii.
Lema hajui siasa, mbaya zaidi hakwenda shule, pia ana historia ya kuwa na kesi kesi zilizomchafulia jina hapo Arusha.
Nyerere alikuwa amekwenda shule.
Ni mtu aliyekuwa anaona mbali na kupanga mikakati sawia - dunia ni mashahidi.
Kumlinganisha Nyerere na Lema ni tusi kubwa...kwa Mwalimu mwenyewe na kwa WaTz.
Ukweli ni kwamba Lema na majority ya viongozi wa cdm ni immature kisiasa. They are just political opportunists.
Bahati mbaya ni kwamba mashabiki wao watakuja kugundua hili wakati imeshakula kwao.
Jifariji tu. Chadema ndo sauti ya watanzania wazalendo wa sasa na baadae.Nyerere alikuwa amekwenda shule.
Ni mtu aliyekuwa anaona mbali na kupanga mikakati sawia - dunia ni mashahidi.
Kumlinganisha Nyerere na Lema ni tusi kubwa...kwa Mwalimu mwenyewe na kwa WaTz.
Ukweli ni kwamba Lema na majority ya viongozi wa cdm ni immature kisiasa. They are just political opportunists.
Bahati mbaya ni kwamba mashabiki wao watakuja kugundua hili wakati imeshakula kwao.
Garasha ...??
we voted FULLY AWARE of the person we are bringing foward to represent us....!! Oh yes ! Even me ...
.
I have no guts to vote for a character with such a terrible criminal record to represent me. It is hard to believe that some people can be so blind and do so!
Time will tell, soon you will realise where you went wrong.
Tumemchagua tukijua anajua kusoma na kuandika , uwezo wake kuchambua mambo magumu kama quadratic equation tutayapeleka kwa wataalam , jamaa yeye anajua msoto tunaokabiliana nao ndiyo tuliyomtuma akaseme , tunataka utawala wa sheria hilo ameamza kulitatua , barabara finyu , mji wa kimataifa mchafu na mengine mengi ambayo tunahakika msela anamudu
Batilda anamjua zaidi lema kama anapitaga humu aweke wasifu wake