Taarifa ya kutokufanyika kwa harus ya charminglady na mtotosix

naona umetumwa na wakati ndio sasa, kwa taarifa yako hakuna kilichoharibika. my lawyer ruttashobolwa hebu njoo huku.
NB. WANAKAMATI ENDELEENI NA MAJUKUMU YENU. KELELE ZA CHURA HAZIMZUII NGOMBE KUNYWA MAJI. . . .

:biggrin1: watu washachanga na mipango ishafanyika hapa lazima aolewe mtu lasivo hakitaeleweka
 
mama yako naona uzee unamuingia siku hizi...amekuwa msahaulifu mno...
halafu wewe kijana MtotoSix,inabidi tuongee vizuri ile mahari naona haitoshi nilisahau kumuhesabu babu wa babu yake bibi wa binti yangu charminglady

kuhusu mahali haina shida nyie mjadiliane hata mkitaka nitoe lile jengo nssf kitega uchumi kama mahali mimi sina neno ili mradi mimi na charminglady tuishie pamoja
 
Last edited by a moderator:
Si nilisema au. haya watu wametoa vijisenti vyao na wameliwa. KONGOSHO awe mtunza pesa wapi na wapi.
 
:biggrin1: watu washachanga na mipango ishafanyika hapa lazima aolewe mtu lasivo hakitaeleweka

kwa mujibu wa my lawyer ruttashobolwa, taratibu zote zinaendelea kama kawaida. wanakamati na wajumbe kuweni na amani. mlalamikaji amekosa evidence. . . MtotoSix la azizi shaka ondoa mambo yako pouwer!
 
Last edited by a moderator:
pole dady, wanga hao achana nao. kwani mama measkron hajakupa habari. n-way haina shida. ndo hvo mimi na MtotoSix tumeamua kuuaga ukapera. . .

mwanangu charminglady, mimi mama yako na baba yako watu8 tunataka umlete huyo kijana nyumbani tena aje na ndugu zake na tujue unakwenda kwenye mikono salama na nyumba inyompenda na kumcha mungu
 
Last edited by a moderator:
ingekuwa ufilipino kweli tungeamin lakin hapa bongoland weweeeee kajipangeee upya my shostito lazima aolewe na mtoto six wanga wako peleka mabweee bado hawajazoea wale watu ka wewe
 
ingekuwa ufilipino kweli tungeamin lakin hapa bongoland weweeeee kajipangeee upya my shostito lazima aolewe na mtoto six wanga wako peleka mabweee bado hawajazoea wale watu ka wewe

ucjali mpenzi, huo ulikuwa ni upepo na sasa ushapita!!!!!
 
Back
Top Bottom