Taarifa ya kutokufanyika kwa harus ya charminglady na mtotosix | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya kutokufanyika kwa harus ya charminglady na mtotosix

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Aug 22, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kichwa cha mada cha husika.
  Napenda kuwataarifu wana cc kuwa harusi ya charminglady na MtotoSix haitakuwepo tena kwakua watu hawa ni ndugu. MtotoSix ni mtoto wa nje ya ndoa wa mama yake charminglady ,mama cl aliwai kuzaa kabla hajaolewa na baba cl mtoto ambaye alikuwa ni wa sita kwa huyo baba.kwakua M6 amekua hamjui mama yake halis ni wakati mwafaka wa kumjua mama yake halali na ndugu yake cl
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Michango?
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni haki yenu kurudishiwa, Madame B kama mwenyekiti tunaomba mwongozo tafadhali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Eti imekuaje ?
  Kama usemavyo ndivyo itakua vipi kama m'bunyuano already ?
  Is't possible being deleted ?
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wata undo
   
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  naona umetumwa na wakati ndio sasa, kwa taarifa yako hakuna kilichoharibika. my lawyer ruttashobolwa hebu njoo huku.
  NB. WANAKAMATI ENDELEENI NA MAJUKUMU YENU. KELELE ZA CHURA HAZIMZUII NGOMBE KUNYWA MAJI. . . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hapa umeandika kiswahili au ?
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu umesaha "undo" na "redo"
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  jamani,jamai..,cl unatafuta nini kwa kaka yako MtotoSix . ruttashobolwa tunaomba mwongozo kunusu watoto hawa wa mama mmoja baba mbalimbali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  shindwa shindwaaa na ulegee!
   
 11. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  nani kakwambia mimi na charminglady ni ndugu? wachawi mmeanza kuharibu mipango ya harusi yetu. Jamani mipango inaendelea kama ilivyokuwa awali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  uroda ni hatari sana!..
  Jamani hakuna cha harusi wala sendoff,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  baba katika jina la yesu,nakemea pepo hili linalo mfanya Charmilady kumpenda kaka yake likapatwe kushindwa katika jina la yesu,navunja nguv zote za mwovu ibiri za kutaka kaka na dada wawe mke na mume zikapatwe kushindwa na kulegea,amin
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  You can not fake us!
  Its better you prove what your saying!
  Others wise you want to ruin some one relation!
  And that will cost you and you will regret!


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Don disturb ma cliet!
  Where is your evidence for you accusation!


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ha,ha,ha mhe wakili ukihendekeza njaa unadhalilisha taaluma yako.akanyasi kalokuriga mazi kaikala kainamile.shaur lako
   
 17. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti nimekuja.
  Ndoa ipo jamani,
  nilienda kulipia Fyatanga Bar,
  ili siku ya tar 26 tusipate tabu.

  Madabhali Jnr acha wenge wewe,
  mbona waarabu wanaoana baba mkubwa na mdogo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Heee mbona baba wa mtoto sina taarifa hii...naona wanga mmeanza ili mwanangu asiolewe...alaah nitampiga mtu kipapai
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hebu tupe prove ya unachokinena
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  How are you wangu!
  Lunch time! Nikufate?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...