Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

Mazima1

Senior Member
Joined
Dec 31, 2020
Posts
189
Reaction score
525
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi

Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama

Alazwe mahala pema peponi
 
Slave
 
Apumzike kwa amani.
 
Apumzike kwa amani
 

Slave huyu mwamba alikuwa active hapa jukwaani miaka ya nyuma ID yake ikiwa na avatar ya mtu aliyefungwa pingu...

R.I.P kama ni taarifa ya kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…