Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais

Wamewaruhusu kuanzia ofisi za CHADEMA mpaka ofisi ya NEC na kurudi. Mpango wa hawa jamaa ilikuwa ni kupitia ofisi zote za vyama vya UKAWA kitu ambacho kingeathiri shughuli za kiuchumi na kijamii hapa center
At least!
 
Jeshi la Polisi kanda ya Dar imepiga marufuku maandamano ya mgombea wa UKAWA Mh. Edward Lowasa kwenda kuchukua form NEC. Chanzo. Akiongea na ITV kamanda Kova amesema chanzo cha kupiga marufuku maandamano hayo ni

1.0 Kukosekana kwa kibali cha maandamano,
2.0 Kwa nini maandamano yaanzie Buguruni yalipo makao Makuu ya CUF badala ya Kinondoni UFIPA yalipo makao makuu ya CDM ambaye Lowasa ndiye mgombea wao.
3.0 Taarifa za uwongo zilizoenezwa kuwa yeye kamanda Kova ametoa kibali, kwanza amekanusha na kupiga kupiga marufuku taarifa hiyo.
4.0 Tishio la uvunjifu wa amani.

Source.ITV, RAdio One.

Haina shida UKAWA msiumize vichwa, Anzieni ufipa nendeni NEC! Inawezekana hawa watu amedhamiria, mjitambue kwamba ninyi ni wapinzani wa chama tawala.Kuweni wavumilivu na watulivu maana mapambano ni makubwa sana ya siku za usoni kabla ya October 25.
 
attachment.php
 
Huu ni wakati wa Watanzania kuamua na kujua kweli hii serikali ni hatari na haitendi haki nasikia harufu ya damu!!

Mungu tuepushe maana serikali hii ni hatari tupu!!!!
 
nchi hii si mali ya ccm, kova utaumia bure........acha watu wamsindikize rais wa 2015
 
Munafika Mukubwa www ...ItV unayoangalia ni yako na Mmeo ...si ya Tanzania .. tena Utafutwe kwa kutoa taaarifa za uwongo zinazohusisha Chombo cha usalama cha Nchi.
Soma hapo chini na Uniambie unachokiongea ni nn .

Mkuu weka maelezo kidogo, tupo site tunatumia vitochi, picha hai download
 
Back
Top Bottom