Things Fall Apart
Senior Member
- Jun 26, 2012
- 178
- 146
Ona sasa wanazidi kumpa mamvi umaarufu
At least!Wamewaruhusu kuanzia ofisi za CHADEMA mpaka ofisi ya NEC na kurudi. Mpango wa hawa jamaa ilikuwa ni kupitia ofisi zote za vyama vya UKAWA kitu ambacho kingeathiri shughuli za kiuchumi na kijamii hapa center
Jeshi la Polisi kanda ya Dar imepiga marufuku maandamano ya mgombea wa UKAWA Mh. Edward Lowasa kwenda kuchukua form NEC. Chanzo. Akiongea na ITV kamanda Kova amesema chanzo cha kupiga marufuku maandamano hayo ni
1.0 Kukosekana kwa kibali cha maandamano,
2.0 Kwa nini maandamano yaanzie Buguruni yalipo makao Makuu ya CUF badala ya Kinondoni UFIPA yalipo makao makuu ya CDM ambaye Lowasa ndiye mgombea wao.
3.0 Taarifa za uwongo zilizoenezwa kuwa yeye kamanda Kova ametoa kibali, kwanza amekanusha na kupiga kupiga marufuku taarifa hiyo.
4.0 Tishio la uvunjifu wa amani.
Source.ITV, RAdio One.
nchi hii si mali ya ccm, kova utaumia bure........acha watu wamsindikize rais wa 2015
Munafika Mukubwa www ...ItV unayoangalia ni yako na Mmeo ...si ya Tanzania .. tena Utafutwe kwa kutoa taaarifa za uwongo zinazohusisha Chombo cha usalama cha Nchi.
Soma hapo chini na Uniambie unachokiongea ni nn .
Huyu mzee anaharibu utulivu wa jiji tena Leo siku ya kazi , hongererni polisi kwa kuliona hili