Mrs ma2mbo
Member
- Dec 27, 2011
- 49
- 23
yani nimeangalia taharifa ya habari tbc leo,ilikuwa ni vichekesho vitupu.
Watangazaji wanaruhusu picha za habari zilizosomwa,matokeo yake camera zinabaki kuwamulika wao,picha yenyewe haiji basi wanabaki kukenua meno tu,tabasamu la uzuni ndio linapamba sura zao..
Hii kitu imekuwa ikijirudiarudia kwa muda mrefu sijui tatizo nini.