Taarifa ya CHADEMA kuhusu kesi ya Leticia Nyerere

Vipi Mbunge wa Tanzania awe na kesi za jinai USA? iwe zimetupwa au hazijatupwa. Kuna mengi yanayohitaji ufafanuzi au anawakilisha jimbo la Maryland kwenye bunge la Tanzania?
 
Hawa CDM siku zote ndio huwa wanapinga watoto wa viongozi kushika madaraka. Sasa nashangaa ndani ya CDM majina ya Nyerere yametawala.

wivuuuuuuuuùu. najua huna lakusema kwa sasa! kesi tupa kuleèeèeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
"The above case was heard today 05/22/2012 by Judge R. Russel Sadler..."

Taarifa ya CHADEMA imetolewa tarehe 13 Mei 2012.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Maskini kumbe ni wivu wa jina unakusumbua,pole sana.Nitaongea na Andrew akuoe ili nawe uitwe mama Nyerere maana ndiye ambaye hajaona katika watoto wa mwalimu.Kumbe tatizo siyo Leticia bali jina linakuuma. Maskini wa Mungu ndiyo maana una roho mbaya maana hujidhamini wewe mwenyewe badala yake unadhamini majina ya watu wengine. Too bad!

Samahani kuuliza Mh Leticia kaolewa nanani? Mimi nilizani ni dada yake Vicent Nyerere, naomba unijuze pls
 
Hawa CDM siku zote ndio huwa wanapinga watoto wa viongozi kushika madaraka. Sasa nashangaa ndani ya CDM majina ya Nyerere yametawala.

Kwani jina la mwisho ndo linamaanisha baba yako ni Rejao Komed wa JF. Hayo maswali waulize Nape, from USA NYC (katuni flani bongo), J. Makambaz na uchafu mwingine kibao uliojaa Magambani huko. Hawa wa CDM ndo tunawaumba na hawana ushirikiano na ufisadi wowote
 
hata kama hana kesi marekani kwa nini ni mbunge tz halafu anaishi usa?

Mbona Balali ni "marehemu" hapa Tanzania lakini anaishi Marekani?

Kujibu swali: Alifuatilia kesi ya kizushi; pia yuko huko kwa shughuli maalum ya kueneza chama nje ya nchi.
 
TATIZO KWANINI ANAISHI MAREKANI WAKATI ANAKULA MSHAHARA NA POSHO KAMA MMBUNGE WA TANZANIa.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
- Vincent Nyerere & Leticia Nyerere, au unasema je?

William.

Leticia Nyerere sio mtoto wa Julius,hata Vincent Nyerere sio mtoto wa Julius,watoto wengi wa vigogo wa c.c.m wamepachikwa kwa infuence za baba zao au kuwapa vifuta machozi kwa ajili ya baba zao,Vita Kawawa,Zainab Kawawa,Adam Malima,Sioi Sumari,Adam Malima,Vailet and his brother(Mzindakaya's) na wengine wengi tu!na mbaya zaidi baadhi ya wazazi wa hao watoto hawana taswira nzuri kwa wananchi wa Tanzania,tofauti na Julius Nyerere ambae alikua mzalendo wa kweli na mtu safi kabisa kwa taifa ili tofauti na viongozi wengine wengi wao walikua ni wanafiki na walafi wa matumbo yao labda nimtoe na mzee wetu Kawawa hapo!
 
Inakuwaje taarifa ya CDM kutolewa kabla ya hukumu ya mahakama? inaonekana hukumu ilitolewa tarehe 22 Mei 2012 na taarifa imetolewa tarehe 13 Mei 2012.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
William, Nafikiri Tatizo sio watoto wa Viongozi kuwa viongozi na wao. Tatizo linalolalamikiwa ni "mbeleko". nafikiri umenielewa. Kama CDM walitumia upendeleo kumpa Leticia ubunge hilo ni kosa. Ila nafikiri vigezo viliwekwa wazi na Dkt: Kitila Mkumbo kama msimamizi wa zoezi hilo. Mimi binafsi sipendi hiyo tabia. Wapo watoto wa viongozi wanafanya vizuri na wewe ni shahidi, ila wapo wengi tu waliobebwa wamekuwa ni mzigo kwa taifa letu.

- Unajua kama chama kuwa na msimamo wa kutotaka watoto wa viongozi kuwa viongozi, unless wameingia chama chako ni very dangerous, niamini ninajua ninachokisema ila inasikitisha sana!


William.
 
- Tena wanapinga hayo kufanyika ndani ya CCM tu, ila wakija kwao ni sawa kumbe unajua hili? Sawa sawa kwa mara ya kwanza kuona member anayejua ukweli!


William.
William na Rejao wote wachumia tumbo.Mpo ccm kwa ajili ya kuvizia vyeo na si kitu kingine.Malecela umekosa ubunge Afrika Mashariki sasa umebaki kuwa kuvizia za uhisani.Mtafute Ridhiwani atkuunganisha na babake.Hamna hoja wote wawili.Hizo ni hoja za kipuuzi.Kama ubunge aliupata kihalali hilo halina shaka.Tunawalalmikia watu kama nyie mnaopenda kubebwa.Wewe willy watu walikutupa hawakutaka kukubeba na ndio maana ukashindwa ubunge.Mbona Makongoro ambaye hategemei fadhila anashinda?Wewe ulidhani jina hilo litakubeba?
 
Mgetusaidia kuweka majina ya hao waliofungua kesi za kumbambikizia halafu wakaingia mitini. Asha kumu si matusi isije kuta wapo akina William@NY City!

A word of wisdom, CCM huo uhuni wenu fanyeni Bongo sio nchi za wenzetu mtaumbuka!
 
Back
Top Bottom