Taarifa ya Bi Bisimba kuteuliwa na CHADEMA ni uongo. Tunaomba vyombo vya habari na umma kwa ujumla waipuuze

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kumekuwa na taarifa ya mkurugenzi wa kituo cha kutetea haki za binadamu, mama Hellen Kijo Bisimba kwamba ameteuliwa kuwa mjumbe wa baraza la wazee CHADEMA.

Taarifa hii imekanushwa na yeye mwenyewe kuwa si kweli





=========
Taarifa feki hii hapa
chadema.jpg
 
Sasa huu si uharifu atafutwe aliyetengeneza ashitakiwe polisi sasa walivyowapuuzi wataapuuzia hii habari.
 
Ingekua ni uzushi umeenezwa dhidi ya CCM au serikali yake basi muda huu kamanda Siro na vijana wake wangekua shingo juu juu kumsaka "mhalifu wa mitandao" aliye eneza habari hiyo. Kwakua ni uzushi dhidi ya CDM basi Siro na vijana wake wako miguu juu hawana habari, utasikia "hatufanyii kazi taarifa za mitandaoni"
 
Chadema wanatapa tapa
Ni mama alitaka uteuzi uwe siri ili wale waliokuwa wanamnyooshea kidole kuwa ni kamanda wasipate pa kusemea
Hata mkiyakakataa naandishi,bado mama ni kamanda na tutamuona tu
 
Chadema mnakataa wanachama wapya?? au huyu alikuwepo tu kwa hiyo haina haja ya kumtangaza tena
 
Hata picha za awali Lowassa akiwa na wajumbe wa baraza kuu la CHADEMA pale hotelini tuliambiwa PhotoShop!!
Kweli umetukumbusha mbali mzee. Ni vyema mamlaka husika hasa mtuhumiwa atufafanulie maana hata kwa akili ndogo tu ni ngumu kufikiria kuwa, CDM wanaweza kufanya upuuzi huo wa kumwandikia tena kifala fala namna hiyo.
 
Kweli umetukumbusha mbali mzee. Ni vyema mamlaka husika hasa mtuhumiwa atufafanulie maana hata kwa akili ndogo tu ni ngumu kufikiria kuwa, CDM wanaweza kufanya upuuzi huo wa kumwandikia tena kifala fala namna hiyo.
chademaa kwani wameshafanya puuzi ngapi kwani mbona nyingi sana...walivyoamua kuua ajenda za.ufisadi na kukaribisha.mafisadi kwenye.chama huo ulikuwa nini....tusidanganyane.kamanda..kumbukumbu zipo nyingi sanaa..kama unataka.sema upewe
 
Back
Top Bottom