dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,410
- 15,993
Kufuatia kudorora kwa uchumi wetu na hili ni kutokana na udhaifu wa mamlaka ya juu kushindwa kusimamia uchumi ipasavyo, bei ya vifaa vya umeme na majenzi itapanda juu kuanzia mwezi wa nane kutokana na kupanda kwa dola za kimarekani kutoka 2309 Feb had 2650 Julai.
Vitu vingine vinatarajiwa kupanda zaidi kuazi mwezi huu wa nane na hivyo mjiandae kisaikolijiaa tena kwa kununua vitu muhimu kwa bei ya sasa hivi kabla hali hi haijawa mbaya zaidi.
Naiona Tanzania kama Zimbabwe, time will tell for sure.
Natoa rai, Rais Samia aondoke madarakani haraka sana kabla hali haijawa mbaya zaidi.
BOT mko mmekaa tu na kukalia vitambi wakati taifa linakwenda kudondokea pua.