Pole sana,
Chukua hatua za haraka za kujihakikishia usalama wako. Baada ya hapo wasiliana na wadau wengine wakusaidie kuwa salama na kuendeleza unayodhani ni azma yako kwa faida ya nchi yako. Karibu Tanzania: Mungu akulinde.
Ndugu yangu Mchambuzi ; hamia CHADEMA. Hao CCM si watu wema. Mimi nimewasoma kwa muda mrefu na nimewatumikia kwa hali na mali kwa nguvu zangu zote lakini kwa kipindi chote tangu niwe na akili mpaka sasa nimekuwa nikiwasoma kwa makini na nimegundua CCM ni chama kinacho dhibitiwa na watu wachache wenye siri kubwa na malengo ambayo ni ya kutia shaka na pengine ya kuogopesha kwa mtu wa kawaida pale anapoyagundua..
Mlinzi wako mkuu ni mungu? Mbona unaloki mlango ukiingia kulala?Unaweza kuwa salama nje ya ssm ndo uwaseme madhambi yao. Bahati mbaya wanajiona unattachable. 2015 ni mmwamuzi wa haya yote. Mlinzi wetu mkuu ni Mungu hata hao wanaokutishia hawewezi kuishi milele. Uzuri ni kwamba auaye kwa upanga atauawa kwa upanga. Amwagaye damu nayake itamwwagwa.
Whaat! ni wewe kweli