Point I entirely agree with you mkuuTatizo sio Mashine za EFD ,tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa hizi mashine .Hizi Mashine zinatambua mauzo tu na hazitambui gharama ,kwa maana ya kuwa utatozwa kodi ktk mauzo iwe umeuza kwa hasara au kwa faida kiduchu.
Sheria inakutaka mfanya biashara kutoa taarifa ndani ya SAA 24 kama hutofungua biashara,na faini ni mlioni 3 pamoja na kifungo juu au moja kati ya hizo.Sasa tujiulize unapopatwa na dharura zilizo nje ya ubinadamu kama ugonjwa kufiwa au vyovyote vile ni namna gani unaweza kukabiliana na hilo tatizo.
Sasa hivi Kariakoo hapafai ,T.R.A wanakamata wafanya biashara walioandika risiti za mkono(Za kitabu),wanamkamata mnunuzi na wanakamata mzigo...Wageni wamepungua kutokana na usumbufu huu ..
Zipo kero nyingi na Serikali imeziba masikio ,unaweza kuzuka mgogoro tena wa wafanya biashara kama Serikali hii itaendelea kutia pamba masikioni...
Kama wewe si mfanyabiashara huwezi jua nini kinatokea sasa...lakini chukua muda utafute takwimu za kibiashara na mapato kwa miezi mitatu tu iliyopita utapata picha halisi jinsi hii sekta ilivyoyumbaWafanyabiashara hawakosi sababu
Hivi ndivyo inavyotakiwa sio tu kuwalazimisha kununua. sasa sijui wale waliokwisha kunuzinunua watafikiriwaje?
VAT haina tatizo kama watu wanavyofikiri, kikubwa ni kupata elimu yake. Na kwa sasa TRA haitoi VAT kirahisi, wamegundua watu wengi wanatumia VAT kukwepa kodi. Anyway, umeshasikia mtu mwenye VAT analalamikia VAT na kutaka kuondolewa?Wanaingizwa kwenye mtego utawasikia watavyo lalamika watakapojikuta wanajipelekea VAT wenyewe
Point I entirely agree with you mkuu
Hapana, kadai TRA. unapoenda kulipa kodi nenda na risiti zako, utakata kwenye kodi hela yakoKama mimi ninayo tayari?Napewa hela??
Tatizo sio Mashine za EFD ,tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa hizi mashine .Hizi Mashine zinatambua mauzo tu na hazitambui gharama ,kwa maana ya kuwa utatozwa kodi ktk mauzo iwe umeuza kwa hasara au kwa faida kiduchu.
Sheria inakutaka mfanya biashara kutoa taarifa ndani ya SAA 24 kama hutofungua biashara,na faini ni mlioni 3 pamoja na kifungo juu au moja kati ya hizo.Sasa tujiulize unapopatwa na dharura zilizo nje ya ubinadamu kama ugonjwa kufiwa au vyovyote vile ni namna gani unaweza kukabiliana na hilo tatizo.
Sasa hivi Kariakoo hapafai ,T.R.A wanakamata wafanya biashara walioandika risiti za mkono(Za kitabu),wanamkamata mnunuzi na wanakamata mzigo...Wageni wamepungua kutokana na usumbufu huu ..
Zipo kero nyingi na Serikali imeziba masikio ,unaweza kuzuka mgogoro tena wa wafanya biashara kama Serikali hii itaendelea kutia pamba masikioni...
Kweli mtu aliyekuuzia kukufundisha na kwanini TRA wasifundishe walipa kodi ili aya malalamiko yasijirudie tena?Mashine zote za phaze II (kuanzia 2013) zinaingiza manunuzi pia, sema watu wenyewe hawatumii au hawajui. Ila manunuzi lazima yawe na risiti za EFD, so ukinunua mzio dai risiti. Kama hufahamu jinsi ya kuiniza, nenda kwa aliye kuuzia akuelekeze. kuiniza manunuzi ni rahisi kuliko hata kutoa risiti.
Na kitu kingine, mpaka sasa hivi, mfumo wa kodi ni ule ule, hamna kilichobadilika. unaweza uliza walioanza tumia mashine tokea 2013, hamna aliyeongezewa kodi kwasababu ametumia mashine, labda kama mtaji wake umekua.
Kuwakamata wakamatwe tu, hakuna namna.Tatizo sio Mashine za EFD ,tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa hizi mashine .Hizi Mashine zinatambua mauzo tu na hazitambui gharama ,kwa maana ya kuwa utatozwa kodi ktk mauzo iwe umeuza kwa hasara au kwa faida kiduchu.
Sheria inakutaka mfanya biashara kutoa taarifa ndani ya SAA 24 kama hutofungua biashara,na faini ni mlioni 3 pamoja na kifungo juu au moja kati ya hizo.Sasa tujiulize unapopatwa na dharura zilizo nje ya ubinadamu kama ugonjwa kufiwa au vyovyote vile ni namna gani unaweza kukabiliana na hilo tatizo.
Sasa hivi Kariakoo hapafai ,T.R.A wanakamata wafanya biashara walioandika risiti za mkono(Za kitabu),wanamkamata mnunuzi na wanakamata mzigo...Wageni wamepungua kutokana na usumbufu huu ..
Zipo kero nyingi na Serikali imeziba masikio ,unaweza kuzuka mgogoro tena wa wafanya biashara kama Serikali hii itaendelea kutia pamba masikioni...
AAcha siasa kwenye kila jambo,mwanzo mlilalamika mashine bei juu,mmepewa sasa unakuja na visababu kibao huku ukipiga ramli za mgomo.Akili za Mbowe hizi.
Tatizo sio Mashine za EFD ,tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa hizi mashine .Hizi Mashine zinatambua mauzo tu na hazitambui gharama ,kwa maana ya kuwa utatozwa kodi ktk mauzo iwe umeuza kwa hasara au kwa faida kiduchu.
Sheria inakutaka mfanya biashara kutoa taarifa ndani ya SAA 24 kama hutofungua biashara,na faini ni mlioni 3 pamoja na kifungo juu au moja kati ya hizo.Sasa tujiulize unapopatwa na dharura zilizo nje ya ubinadamu kama ugonjwa kufiwa au vyovyote vile ni namna gani unaweza kukabiliana na hilo tatizo.
Sasa hivi Kariakoo hapafai ,T.R.A wanakamata wafanya biashara walioandika risiti za mkono(Za kitabu),wanamkamata mnunuzi na wanakamata mzigo...Wageni wamepungua kutokana na usumbufu huu ..
Zipo kero nyingi na Serikali imeziba masikio ,unaweza kuzuka mgogoro tena wa wafanya biashara kama Serikali hii itaendelea kutia pamba masikioni...
mkuu upo sahihi kabisa ila kuna baadhi ya vilaza wameshindwa kukuelewa.
ngoja nitoe mfano kidogo hapa,
-kodi ni 18% ya ulicho uza
-nimenunu bidhaa ya jumla dar kwa sh.8000/- nikasafirisha mpaka mkoani
-nikauza rejareja kwa sh.10000/-
-calculate kodi 18% ya 10000/-
-kodi ya TRA kwa bidhaa hiyo ni sh.1800/-
-kilichobaki kwa mfanya biashara ni sh.200/- katika bidhaa hiyo
-hapo hujalipa fixed cost za kuendesha biashara yako na familia yako
watu tuache ushabiki wa kipumbavu tuwe realistic.
Utauza kwa hasara au kwa faida kiduchu? Acha kuchekesha wewe.
Hauko sahihi boss.. nadhani kama kuna mfanya biashara mwenye VAT experience atujuze.
Pili mfanyabiashara mwenye VAT, yeye halipi VAT, anayelipa ni mnunuzi wa mwisho kabisa, ndio mana yeye anadai (claim) VAT TRA mwiho wa siku. kwa mfano wako uliotoa. bidhaa ya 8000 VAT yake ni 1440, na ameuza kwa 10,000 ambayo VAT yake ni 1800. Kiasi anachotakiwa kupeleka TRA ni 1800 - 1440 = 360 tu,
Pia kwa wafanya biashara wanachofanya, anaweka faida yake then juu yake anaweka kodi. kwa mfano wako, kama anataka kupata faida ya 2000. basi atauza 10,000 plus VAT. yaani 11800. Vininevyo watu wangefunga maduka, isingekua biashara.
Hapa kikubwa ni kupata elimu ya kodi, kutoka kwa watu wanaohusika na kodi. kama kuna wataalam watusaidie