anko Magu anaendelea kuishi kwenye Maneno yake.
hao wageni niwakina nani mpaka ututolee mfanoTatizo sio Mashine za EFD ,tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa hizi mashine .Hizi Mashine zinatambua mauzo tu na hazitambui gharama ,kwa maana ya kuwa utatozwa kodi ktk mauzo iwe umeuza kwa hasara au kwa faida kiduchu.
Sheria inakutaka mfanya biashara kutoa taarifa ndani ya SAA 24 kama hutofungua biashara,na faini ni mlioni 3 pamoja na kifungo juu au moja kati ya hizo.Sasa tujiulize unapopatwa na dharura zilizo nje ya ubinadamu kama ugonjwa kufiwa au vyovyote vile ni namna gani unaweza kukabiliana na hilo tatizo.
Sasa hivi Kariakoo hapafai ,T.R.A wanakamata wafanya biashara walioandika risiti za mkono(Za kitabu),wanamkamata mnunuzi na wanakamata mzigo...Wageni wamepungua kutokana na usumbufu huu ..
Zipo kero nyingi na Serikali imeziba masikio ,unaweza kuzuka mgogoro tena wa wafanya biashara kama Serikali hii itaendelea kutia pamba masikioni...
hao wageni niwakina nani mpaka ututolee mfano

AAcha siasa kwenye kila jambo,mwanzo mlilalamika mashine bei juu,mmepewa sasa unakuja na visababu kibao huku ukipiga ramli za mgomo.Akili za Mbowe hizi.Tatizo sio Mashine za EFD ,tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa hizi mashine .Hizi Mashine zinatambua mauzo tu na hazitambui gharama ,kwa maana ya kuwa utatozwa kodi ktk mauzo iwe umeuza kwa hasara au kwa faida kiduchu.
Sheria inakutaka mfanya biashara kutoa taarifa ndani ya SAA 24 kama hutofungua biashara,na faini ni mlioni 3 pamoja na kifungo juu au moja kati ya hizo.Sasa tujiulize unapopatwa na dharura zilizo nje ya ubinadamu kama ugonjwa kufiwa au vyovyote vile ni namna gani unaweza kukabiliana na hilo tatizo.
Sasa hivi Kariakoo hapafai ,T.R.A wanakamata wafanya biashara walioandika risiti za mkono(Za kitabu),wanamkamata mnunuzi na wanakamata mzigo...Wageni wamepungua kutokana na usumbufu huu ..
Zipo kero nyingi na Serikali imeziba masikio ,unaweza kuzuka mgogoro tena wa wafanya biashara kama Serikali hii itaendelea kutia pamba masikioni...
Lugha mbovu/matusi huwa haifikishi ujumbe, huku ni kuishiwa hoja, ni kosa gani kafanya hata umtukane?UKAWA, UKAWA utafikiri wanakugegeda
Upo sahihi mkuu ila ukiona mtu ujinga wake ulipoijishia basi tarajia na upumbavu wake umeshawasili kichwani mwake msamehe bure tuLugha mbovu/matusi huwa haifikishi ujumbe, huku ni kuishiwa hoja, ni kosa gani kafanya hata umtukane?
anko Magu anaendelea kuishi kwenye Maneno yake.
Tatizo sio Mashine za EFD ,tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa hizi mashine .Hizi Mashine zinatambua mauzo tu na hazitambui gharama ,kwa maana ya kuwa utatozwa kodi ktk mauzo iwe umeuza kwa hasara au kwa faida kiduchu.
Sheria inakutaka mfanya biashara kutoa taarifa ndani ya SAA 24 kama hutofungua biashara,na faini ni mlioni 3 pamoja na kifungo juu au moja kati ya hizo.Sasa tujiulize unapopatwa na dharura zilizo nje ya ubinadamu kama ugonjwa kufiwa au vyovyote vile ni namna gani unaweza kukabiliana na hilo tatizo.
Sasa hivi Kariakoo hapafai ,T.R.A wanakamata wafanya biashara walioandika risiti za mkono(Za kitabu),wanamkamata mnunuzi na wanakamata mzigo...Wageni wamepungua kutokana na usumbufu huu ..
Zipo kero nyingi na Serikali imeziba masikio ,unaweza kuzuka mgogoro tena wa wafanya biashara kama Serikali hii itaendelea kutia pamba masikioni...
Mwanzo mlisema mashine ni ghari sasa mnapewa umeanza sababu! Hata kama ukiipata hasara kulipa kodi ni lazima siyo hiari!Tatizo sio Mashine za EFD ,tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa hizi mashine .Hizi Mashine zinatambua mauzo tu na hazitambui gharama ,kwa maana ya kuwa utatozwa kodi ktk mauzo iwe umeuza kwa hasara au kwa faida kiduchu.
Sheria inakutaka mfanya biashara kutoa taarifa ndani ya SAA 24 kama hutofungua biashara,na faini ni mlioni 3 pamoja na kifungo juu au moja kati ya hizo.Sasa tujiulize unapopatwa na dharura zilizo nje ya ubinadamu kama ugonjwa kufiwa au vyovyote vile ni namna gani unaweza kukabiliana na hilo tatizo.
Sasa hivi Kariakoo hapafai ,T.R.A wanakamata wafanya biashara walioandika risiti za mkono(Za kitabu),wanamkamata mnunuzi na wanakamata mzigo...Wageni wamepungua kutokana na usumbufu huu ..
Zipo kero nyingi na Serikali imeziba masikio ,unaweza kuzuka mgogoro tena wa wafanya biashara kama Serikali hii itaendelea kutia pamba masikioni...
Utauza kwa hasara au kwa faida kiduchu? Acha kuchekesha wewe.Tatizo sio Mashine za EFD ,tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa hizi mashine .Hizi Mashine zinatambua mauzo tu na hazitambui gharama ,kwa maana ya kuwa utatozwa kodi ktk mauzo iwe umeuza kwa hasara au kwa faida kiduchu.
Sheria inakutaka mfanya biashara kutoa taarifa ndani ya SAA 24 kama hutofungua biashara,na faini ni mlioni 3 pamoja na kifungo juu au moja kati ya hizo.Sasa tujiulize unapopatwa na dharura zilizo nje ya ubinadamu kama ugonjwa kufiwa au vyovyote vile ni namna gani unaweza kukabiliana na hilo tatizo.
Sasa hivi Kariakoo hapafai ,T.R.A wanakamata wafanya biashara walioandika risiti za mkono(Za kitabu),wanamkamata mnunuzi na wanakamata mzigo...Wageni wamepungua kutokana na usumbufu huu ..
Zipo kero nyingi na Serikali imeziba masikio ,unaweza kuzuka mgogoro tena wa wafanya biashara kama Serikali hii itaendelea kutia pamba masikioni...
Sasa hivi shule za msingi hadi kidato cha nne elimu ni bure, kabla ya sheria hii wapo wanafunzi walioshindwa kuendelea na masomo sababu ya kukosa ada. Nao walishaombwa radhi? Jiongeze mkuu unaweza kujiona maarufu wa maswali kumbe maswali yako nyanya masala. Wewe ulisoma shule za Kayumba, mdogo wako kwa sababu wazazi wako kipato kimeongezeka anasoma private, na wewe wazazi wako wakuombe radhi?Kuna yule Mwenyekiti wa wafanyabiashara aliwekwa ndani kwa sababu ya mgomo wa wafanyabiashara, kupinga kununua mashine hizo kwa bei kubwa, je TRA walishamwomba radhi? Wakati wengi tulipiga kelele kupinga utaratibu huo, na kama kawaida wale wa chama X ambao hupata mang'amuzi baadaye sana walisema "tumezoea kupinga kila kitu"! Sasa katokea JPM na kusema mashine zigawiwe bure (Kama wengi wetu tulivyokuwa tunashauri wakati ule), kwa nini hawajapingana naye?