Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,286
- Thread starter
- #61
Hili tukio limenikumbusha last year, jirani yetu aliaga anaenda kwenye sherehe ilikua jmos ila hakurud n ndugu walihangaika sana kumtafuta kila sehem had mortuary bila matumaini.
Katika juhudi za kumtafuta mwili ulikuja kuonekana j3 maeneo ya kimara ukiwa umeharibika vibaya mno maana inasemekana walimuingilia vbaya n kuona hyo haitoshi wakamchoma na kisu kifuani!!
Kilikua kipindi cha majonzi sana maana aliacha watoto wa3 ambao bado walikua wadogo wanamuhitaji..
Wabakaj hawakukamatwa?
.