Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,310
- 5,724
kuna watu hawafanyaji hivi..
mimi hata niende wapi mama angu atajua tu.. Kama nahang out na rafiki zangu basi namba zao wote atakua nazo, Sio tu kwa ajili hio mambo ni mengi sana ,unaweza kupata ajali wakapuuzia kumbe ushajifiaga ukazikwa na site ndugu/jamaa /marafiki wanabaki na fumbo kuwa ulipotea[emoji22].
Kuna mwaka kipindi cha usichana nilisema naenda kkoo kumbe kkoo nilitoka nikaenda safari zingine nikaibiwa nikaanza kuhaha kipindi kile hakuna tigopesa/bodaboda ndo zimeanza nikaenda kulala kwa shoga angu upanga halafu namba za home siijui hata moja.. wazee walinitafuta mortuary zote za Dar, Wakati huo huo kkoo mda nilioenda alipata ajali binti wa rika langu akafa mama angu alivyopata hio habari alilia usiku kucha, Kwanzia mwaka huo hata ningeenda sm kadhaa watajua tu ili wasije kupata shida kunitafuta.

Uko wapi. Umepanga kukutana na nani, nk