kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 17,690
- 21,916
Sehemu zasiri hazijachafuka
Inahuzunisha sana
Kuhusu vikawe ndio usiseme. Haiwezi pita miezi mitatu haijaokotwa maiti. Inasikitisha sana!
Naskia mitaa hiyo huwa maiti zinaokotwa sana. Mungu atuepushie
Na kuna mwingine originaleast kamtangaza mdada kuwa kapoteaDH! kuna mama niliona jana anatangaza ITV kupotelewa na binti yake wa miaka 22, alisema aliaga anaenda msibani kwa rafiki yake na mama hamfahamu rafiki wa mwanae, tangu tarehe 9/11 hajamuona, alikuwa na huzuni sana Mungu asaidie tu asije kuwa ndie huyo alie okotwa.. Dunia kweli tambara bovu.
Likely ni ubakaji tu.
Gofu halafu tight pembeni!!
Taarifa za vipi Sky?
Naomba unieleweshe kidogo.
Kwa usalama wenu, muwe mnapost taarifa Facebook hata kama unaonekana punguani lakini itasaidia upelelezi ukipatwa na majanga.
Just imagine!! Ni ukatili tu umewajaaHivi tendo la ndoa lilivyorahisishwa siku hizi wapo watu bado wanabaka kweli? Wanawake wengi sana na wanatoa Kama pipi iweje ubake?
yani ni post FB naenda kwa nani, niko wapi, nk???Uko wapi. Umepanga kukutana na nani, nk
Haki haiwezi kupatkana hapo maana wanachkulia 'sio wa muhimu'Kabisa wakuu.
Watu wanauliwa sanaa.
Na huku bagamoyo sababu ni mapori mengi.
Na hata polisi nao hawako makini Kivile.
Sasa kama yule waliomzika bila uchunguzi unafikiri kama kauliwa haki yake itapatikana kweli?
Yaa most likely....Most likely chanzo ni wivu wa mapenzi au ubakaji!
yani ni post FB naenda kwa nani, niko wapi, nk???
kwanguu sioni kama ni akili hii inatumika, atleast usema mtu
akitoka kwenda mahali amuage mtu yyte amwambie anaenda wapi na kwa nani na kavaaje (atleast)
ila sio nijirushe FB au insta kusema namfata nani ili tu kuweka ushahidi NOP
mtu mwenyewe anakuja anapatikana kaharibika uso nguo nyeupe ishakua zambarau,utajuaje hata fb akaunt gani?
mimi na wewe nani ame kutu puka?Umeambiwa taarifa za jinai kama hizi tuwe tunapost facebook wewe unakutupuka na yako bila kufahamu jamii media ina kesi ambazo zinahusisha mambo ya kiuchunguzi au haufahamu?
😂😂mimi na wewe nani ame kutu puka?
Unamaanisha huku Jf kunaweza kusiwe salama sana sio?Kwa usalama wenu, muwe mnapost taarifa Facebook hata kama unaonekana punguani lakini itasaidia upelelezi ukipatwa na majanga.
eh eh nipo na mchepuko hapa tupendane guest house...wish me luckUko wapi. Umepanga kukutana na nani, nk
Kuna muda natamani nijue wewe ni wa kike au kiume?. Muda mwingine ningetamani nijue zaidi ya hapo,lakini zingine itakuwa ngumu kwa mazingira haya,tuanzie hilo la juu (Sina nia ya kukufanya ujisikie vibaya kwa swali hilo. Kwa vyovyote vibaya nisamehe). Ila kwa ujumla unanifurahisha sana kwa midude unayoishusha hapa. Unaelimisha,unachangia,ni miongoni mwa watu bora kabisa hapa JfKwa usalama wenu, muwe mnapost taarifa Facebook hata kama unaonekana punguani lakini itasaidia upelelezi ukipatwa na majanga.