Taarifa: Mwili umeokotwa Bunju B

Taarifa: Mwili umeokotwa Bunju B

Ukimuuwa mtu mwanachama wa ccm uchunguzi lazima
Kabisa wakuu.
Watu wanauliwa sanaa.
Na huku bagamoyo sababu ni mapori mengi.
Na hata polisi nao hawako makini Kivile.
Sasa kama yule waliomzika bila uchunguzi unafikiri kama kauliwa haki yake itapatikana kweli?
 
Back
Top Bottom