Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,310
- 5,724
kuolewa natakaNi kwamba hautaki ama?
Soma PM yangu please
waowaji ndo hamna
kuolewa natakaNi kwamba hautaki ama?
Soma PM yangu please
Nimekutumia namba PMkuolewa nataka
waowaji ndo hamna
ukinioa ujue taarifa zako zitajaa jalada[emoji1787][emoji1787]kila tunachofanya kina reportiwaMimi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Jaman... na huyo jirani yetu pia walimuingiza chupa huko chini, inaonekana alifariki kifo cha maumivu sana
Ni unyama ambao huwez kufkiria mtu anaweza kumfanyia binadamu mwenzake as if wana uhakika na maisha yao. Hata kama mtu kakukosea vp sidhan kama kumuua ni solution nzuri
Kwel kabisa na too bad matukio kama haya hayatangazwi sana na ndio maana hata ukifatilia mara nying wahusika hawachkuliwi hatua yoyote ya kutiwa nguvuni so inawapa nguvu waendelee kufanya ukatiliIfike mahali wanawake tuupinge huu ukatili. Kwa nini mateso yote hayo kwa binadam mwenzako? Wakubali kwamba ukitongoza ipo siku utakataliwa au kukubaliwa Sasa Miguvu ya nini? Ila kwa ishu ya Yule barmedi ni kukomoa tu walimfanyia maana alipatana na mmoja tu. Ishu hizo zipo sana vijijini
Aisee nmeiona namalizia kureport kuwa umenitumia pm Nikipotea rescue unity wafike haraka[emoji23]Nimekutumia namba PM
Mi siwezi kufanya mambo ya ajabuajabu..mi nikitongoza demu,akinikataa,basi!! akinikubali nakula utamu wangu kwa kujinafasi..mi hata kumuacha mwanamke huwa siwezi,na nawahudumia kama kawaida..ukinioa ujue taarifa zako zitajaa jalada[emoji1787][emoji1787]kila tunachofanya kina reportiwa
Mi siwezi kufanya mambo ya ajabuajabu..mi nikitongoza demu,akinikataa,basi!! akinikubali nakula utamu wangu kwa kujinafasi..mi hata kumuacha mwanamke huwa siwezi,na nawahudumia kama kawaida..
Wanaofanya huo ujinga huenda wamerogeka!
Damn!![emoji24][emoji24][emoji24]Mwingine walimbaka wakamtia machupa chini hadi utumbo ukatoa Haja kubwa nje,, alipata na na mmoja ikaja team. Alikufa. Alikuwa barmaid
unachukua muda gani kureport sasa??Aisee nmeiona namalizia kureport kuwa umenitumia pm Nikipotea rescue unity wafike haraka[emoji23]
Kwa usalama wenu, muwe mnapost taarifa Facebook hata kama unaonekana punguani lakini itasaidia upelelezi ukipatwa na majanga.
Nimekutukana nikafuta.Uko wapi. Umepanga kukutana na nani, nk
Tanzania kuna database ya DNA? TUPOTUPO tuTanzania CSI yao butu. Huyo mtu alitakiwa achukuliwe DNA waanze matching kwenye database zao......
unachukua muda gani kureport sasa??
waiting for you...1minute
Mrs Bishanga,Wanabaka kama binti kala pesa za watu na hataki kutoa chini
Wazazi waelimisheni mabinti zenu kwamba wawe makini wasile vya watu