Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

Hilo nalo ni neno, topic moja inawekwa jamvini mara kibao, kila la kheri bana.
 
INNOVATOR hivi kazi ya kuchuja Threads MMU ilishaanza?? I am really curious Mkuu....
 
Mmengoja bujibuji hayuko ndio mkaleta hii kanuni> maana yeye ndio huwa anaingia na visa vya mikasa.
 
Mimi ninaunga mikono,kichwa pamoja namiguu kwani kilichofanyika ni kwamanufaa ya wanajamii wote
 

Asante sana, ningekuwa wewe zile topic zote za kijinga ningezifuta huna haja kuzipeleka kwingine. Poe na kazi kubwa.
 
Ni vizuri coz kuna topic hata hazieleweki na zinachosha
 
mkuu nahitaji kujua, sina nia mbaya!
Sitaki kuwa kenge kwenye msafara wa mamba bana!

Mkuu jaribu kushughulisha kichwa kidogo.Hili jukwaa linaitwaje? Naomba uandike jibu then kila herufi ya mwanzo ya neno anza na herufi kubwa na uibold utapata jibu.
 
Uamuzi mzuri ingawa thread yako na yenyewe haikutakiwa kuwa hapa.
I thought hapa ndio MMU -( mahusiano mapenzi urafiki) kwenyewe, sasa post ilitakiwa ikawekwe wapi tena na tungeionaje huko ambako ingewekwa??? kama nakosea nisahihishwe tafadhali
 
hata kama zina nini huwezi post post nyingi hivo kwa siku watu watachangia vp banaa ?maana post zikiwa nyingi watu wanashindwa kuchangia mwishowe jf litakuwa jukwaa la kupost tu sasa
Akachangie kule fesikibuku!
Na mapicha akabandike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…