Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

wasomaji wa JF kwa tafsiri yangu na uchambuzi ni wachache sana yumkini hawazidi alfu, lakini makeke kweli kweli, chambua uone kama nadangany..........
 
This is where I miss the "Thanks" Button....anyways "thanks for this useful post"

forif we are not careful....we will lose the whole essence of MMU!
 
Seconded!

Afu mi ntaomba niwe moderator wa hili jukwaa..........kuna watoto humu badala ya kwenda darasani kusoma wanaleta utoto wao humu. Nipeni umodereta nikusaidieni kuwasafisha......!
 
Reactions: EMT
Kwakweli bila Chit Chat, mi mtaniharibia siku yangu, na sitakuwa na haja ya kuja hapa MMU kujadili mapenzi na urafiki kwa mastress kama vile tuko kwenye siasa au dini.
 
Kwakweli bila Chit Chat, mi mtaniharibia siku yangu, na sitakuwa na haja ya kuja hapa MMU kujadili mapenzi na urafiki kwa mastress kama vile tuko kwenye siasa au dini.
waambie asprin ndo zetu hizo sio unachangia unasepa sisi ni chit chat kwa saaaana
 
Kweli kabisa bebii kila ukifungua pdidy mpaka unachoka na zote zinaongelea mada ile ile mahusiano na mapenzi.
Mkuu Nyenjenkuru Avatar yako inannikwaza kweli... inanikumbusha maiti moja ilipata ajali ikavunjika mabega yote na kuvimba, ni tukio la siku nyingi lakini siwezi kusahau, unaweza kunisaidia kuitoa??
 
Afu weye umerudi lini? Mbona hutimizi ahadi yako....sorry ofu topiki
sijarudi bado mzee umemuona mr rocky mahali wanakataa tusichati bwana mtafute tuchati hapa hadi page mia
 
sijarudi bado mzee umemuona mr rocky mahali wanakataa tusichati bwana mtafute tuchati hapa hadi page mia
Hapo umenena jambola neema.......ODM yuko jukwaa la Maria Roza anakusubiri urudi......
 
Hapo umenena jambola neema.......ODM yuko jukwaa la Maria Roza anakusubiri urudi......
muite bwana tuwaonyeshe eti mtu anachangia post mojatu anazima pc kabisa hadi mwezi ujao? jf ni active bwana hadi majogoo
 
muite bwana tuwaonyeshe eti mtu anachangia post mojatu anazima pc kabisa hadi mwezi ujao? jf ni active bwana hadi majogoo
Hebu twende kule kwa majogoo tuache watu wachangie hii yuziful sredi.........
 
Innovator ni mod mpya huyu...???? asante kwa taarifa bana
 
hili ni jambo nzuri sana. kwanza hongera.
lakini swali langu kwako ni hili, ni mbinu gani utatumia kujua kuwa post inastahili kuwepo au kuondolewa. ni vipimo gani mtatumia katika moderation? nauliza hivo ili isije kuwavunja moyo mashabiki wengi wa JF. bora kuweka wazi mikakati mtakayoitumia wakati wa moderation ili watu wanapoweka post zao wawe wamezizingatia. otherwise uko juu tena sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…