Taarifa Muhimu: Mkutano mkuu maalumu kufanyika tarehe 5/20/2019. Tanzania ya kijani inawezakana

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau wa JF.
Nafurahi kuwajulisha kuwa Tarehe 5/10/2019 kutafanyika Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi Kwenye Uwanja wa Uhuru Temeke kuanzia Saa Sita Mchana.
Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru Ally atahudhuria Akiwa Mgeni Rasmi.
Tafadhali Ndugu Mtanzania Mzalendo upatapo taarifa hii mjulishe Mwenzako na Usipange kukosa.
*Tanzania ya Kijani Inawezakana*
*Tunatest Mitambo*
*Ushindi Ni dhahiri*
*Nyumbu mtapata taabu Sana*
 

Attachments

  • FB_IMG_15701897857919154.jpg
    FB_IMG_15701897857919154.jpg
    22.6 KB · Views: 16
Mapolisi wataingia ndani kuwa linda? Maana hivi sasa tuna ona Ccm mnaogopa wapinzani. Hata wakiwa wawili ofisini mna taka watawanywe na Policcm. Ila nyie mikutano ni halali ya chama chenu
 
Aisee,kweli wewe ni mjinga sana
Kwa hiyo tarehe 5/20/2019,nimeamini wewe ni POPOMA
 
Back
Top Bottom