Makampuni kadhaa makubwa ya mafuta pamoja na makampuni ya usambazaji wa mafuta na petroli yamesitisha kwa muda usafirishaji wa mafuta, petroli na bidhaa kupitia Strait of Hormuz kutokana na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran kwa mujibu wa ripoti kutoka Reuters.