TAARIFA: Maendeleo ya Afya ya Kibanda

TAARIFA: Maendeleo ya Afya ya Kibanda

Itabidi tuanze kutembea na metal helmets ,metal gloves and metal underwear. Maana hawa jamaa sijui wanafanyia rituals kucha na meno? ?
 
ni haya haya madaraka ambayo kuna siku tutayaacha au ni kitu gani!?
 
khaaaaa! haani kila nisomapo habari za huyu Kibanda huwa najikuta machozi yanatoka yenyewe. But swala la msingi la kujiuliza ni hivi kweli rais wa hii nchi atakwenda kuwapa wavenezuela pole akasindwa kuipa familia hii pole kwa yaliyootokea??

najua you can not overwin the system but atlest there shld be humanity when fullfilling their missions. Nakumbuka mwaka nikiwa field weruweru aliuwawa ndugu yangu mmachame Imran Komba kwa namna ya ajabu sana, sikuona rais akisema lolote zaid ya pole kwa wananchi wa mkoa wa KLM. mengi yalisemwa na nilisema nitakuwa wa mwisho kuamini haya ninayoyaskia.

Alikuja Said Kubenea akamwagiwa tindikali nikasema hapa na penyewe nisiamini akaja dr Uli nikaona sasa hii serikali imefika pabaya, sasa huyu ni mwingine tena je serikali ya CCM itasemaje na itatuaminishaje kwamba haihusiki na haya?? ana siku hzi kuna biashara ya meno ya binadamu baada ya yale ya tembo kuisha??

tuambiwe usalama wa raia uko mikononi mwa nani?? basi bora kila mtu aruhusiwe kumili silaha na once unamuhisi mtu vby you fire him or her. polis hamtulindi ila mnatuua huyu napata picha ni Inghondu na mwenzie Msangi but mtakuja kulipa tu haya siku si nyingi.

Binafsi nasema wazi mh Rais wetu hata lipicha lako la kuwapa pole wavenezuela lile tabasamu ungeliondoa halina maana kama huku raia wako watu wako wa karibu tunajeruhikwa kiasi hiki. Ukiamka leo hujui kam a jion utarudi home salama. Kikwete basi sema neno kwa wanausalama wetu tukuskie.

naskitika sana wanausalama wako wanatumia mbinu za kizamani sana kama kweli unataka kumwondoa mtu why such pain simple koroga pipa la tindikali mdumbukize huyo mtu nakwambia hata unywele wake hautabaki.niko tayari hata kuwapeni aina za tindikali ambazo ni good at it na hata DNA huwez kupata kuliko kwaua kwa maumivu makali hivi.
 
HIII NDO SERIKALI YA KIKWETE MPK AMALIZE MDA WAKE KESHATESA NA KUUA WENGI...HUU NI USHETANI NA ANA UCHEKEA KWASABABU U CHINI YAKE...Mungu akulaani
 
I fear for my teeth, finger nails and my balls, they are no longer safe in this country under this regime.
 
khaaaaa! haani kila nisomapo habari za huyu Kibanda huwa najikuta machozi yanatoka yenyewe. But swala la msingi la kujiuliza ni hivi kweli rais wa hii nchi atakwenda kuwapa wavenezuela pole akasindwa kuipa familia hii pole kwa yaliyootokea??

najua you can not overwin the system but atlest there shld be humanity when fullfilling their missions. Nakumbuka mwaka nikiwa field weruweru aliuwawa ndugu yangu mmachame Imran Komba kwa namna ya ajabu sana, sikuona rais akisema lolote zaid ya pole kwa wananchi wa mkoa wa KLM. mengi yalisemwa na nilisema nitakuwa wa mwisho kuamini haya ninayoyaskia.

Alikuja Said Kubenea akamwagiwa tindikali nikasema hapa na penyewe nisiamini akaja dr Uli nikaona sasa hii serikali imefika pabaya, sasa huyu ni mwingine tena je serikali ya CCM itasemaje na itatuaminishaje kwamba haihusiki na haya?? ana siku hzi kuna biashara ya meno ya binadamu baada ya yale ya tembo kuisha??

tuambiwe usalama wa raia uko mikononi mwa nani?? basi bora kila mtu aruhusiwe kumili silaha na once unamuhisi mtu vby you fire him or her. polis hamtulindi ila mnatuua huyu napata picha ni Inghondu na mwenzie Msangi but mtakuja kulipa tu haya siku si nyingi.

Binafsi nasema wazi mh Rais wetu hata lipicha lako la kuwapa pole wavenezuela lile tabasamu ungeliondoa halina maana kama huku raia wako watu wako wa karibu tunajeruhikwa kiasi hiki. Ukiamka leo hujui kam a jion utarudi home salama. Kikwete basi sema neno kwa wanausalama wetu tukuskie.

naskitika sana wanausalama wako wanatumia mbinu za kizamani sana kama kweli unataka kumwondoa mtu why such pain simple koroga pipa la tindikali mdumbukize huyo mtu nakwambia hata unywele wake hautabaki.niko tayari hata kuwapeni aina za tindikali ambazo ni good at it na hata DNA huwez kupata kuliko kwaua kwa maumivu makali hivi.

Tusubirie mengi na ya kutisha kabla ya 2015 maana kila uchao, la leo ni bora ya la jana!
 
pole absallom kibanda tendo hili ni baya sana kufanyiwa mtu yoyote naamini hakuna siri diniani waungwana waumbueni hao wahusika maana waweza kukutenda hata wewe au mtu wako wa karibu
 
Hii ndo
tanzania, waandishi wa habari na wanaharakati hawana usalama tena,kwa
nchi iitwayo kisiwa cha Amani!

Huyu kova pamoja na majambazi wenzake wanatakiwa wachukuliwe hatua kali na mahakama ya umma, wakiendelea kuachiwa watazidi kutuumiza...
 
Tusubirie mengi na ya kutisha kabla ya 2015 maana kila uchao, la leo ni bora ya la jana!

binafsi natangaza tenda ya kuwatengenezea kemikali ambayo inaua mtu hapaki hata mfupa wala nywele. ni rahisi kabisa kuitumia na haitaacha maswali vichwan mwa watu.
 
kitendo hicho alistahili kutendewa JERI MURO, sio huyu mpiganaji.
 
Waandishi wa habari Tanzania si salama maana hakuna anayewajali wakifa au wakiishi. Serikali inawamaliza bila aibu na hakuna anaekamatwa kwa uovu huu wa wazi. Mbona waliomwibia Sharo walikamatwa fasta, au kwa kuwa Rais wetu pia anawamaindi sana hao kuliko hawa. Maana kwa Kanumba na wengine wao alikwenda kufariji fasta lakini Mwangosi kauawa hatukumwona kwenda huko kutoa pole. Utasikia polisi wanakuja na Mkenya kahusika na jaribio lakutaka kumuua Kibanda, maana Kova hachelewi kubuni mbinu za kitoto.:A S 114:
 
Picha hizi zinanifanya nimchukie sana Vasco da Gama.hakustahili kuwa kiongozi wa nchi hii.Hapa siwezi kukilaumu chama.Hii ndiyo staili yake ya utawala.But why didi we choose a soldier to be our president?
1.JPG
 
Naililia nchi yangu ya tanzania.Nchi iliyojengwa kwa misingi ya haki,amani, uhuru na uzalendo wa kweli.Sote tuliishi kama ndugu moja pasipo chuki,dhuluma na unafiki.Tumeshaipoteza amani na siku moja tutaijutia.

NAKUPENDA TANZANIA
 
Picha hizi zinanifanya nimchukie sana Vasco da Gama.hakustahili kuwa kiongozi wa nchi hii.Hapa siwezi kukilaumu chama.Hii ndiyo staili yake ya utawala.But why didi we choose a soldier to be our president?

Kuna mada naiandaa bado haijaiva vizuri kichwani kuhusu ulilosema uongozi kisiasa ulio wa kijenshi ambao wanajeshi wanaongoza kwa pazia la kiraia lakini ni wanajeshi, ndo maana CCM unaona utitiri wa viongozi wanajeshi.
 
Kuna haja gani ya kuwa na serikali ambayo ipo kama haipo,kwangu mimi mapinduzi ndiyo kitu sahihi kwa sasa,kwa serikali ya namna hii,tukiendelea kungoja wallah tena tutaumia.
 
binafsi natangaza tenda ya kuwatengenezea kemikali ambayo inaua mtu hapaki hata mfupa wala nywele. ni rahisi kabisa kuitumia na haitaacha maswali vichwan mwa watu.
Au utumike Mwavuli, si unaona msimu wa mvua umeanza?
 
Back
Top Bottom