Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':

1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni.
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya.
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe.
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe.
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu.
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa.
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii.
16. Chama bado kina misingi mizuri, imarisha kwa kuteua watu wenye maono na uzalendo kwa nchi.
17. Sisi hatutakuja kukuingilia, teua na unda timu kwa kadri unavyoona inafaa.. watendee watu haki nasi tutaendelea kukuunga mkono.

18. Mpaka sasa umetuonesha mwanga mwema nasi kwakuwa tunaipenda nchi tumesitisha 'mipango' yetu ili utimize majukumu yako na kusimamia haki.

Tulishauri, hakusikiliza na sasa hayupo. Nimepewa ujumbe, nimeufikisha.
Hakuna hata moja linaloelekea kufanyika katika hii orodha!
 
Namba 11 Mama kakiuka kwa kuendelea kukopa na kuongeza Deni la Taifa!!Mumemtuma Ndugai aseme !!! Mmechukia jamaa kazinguliwa uspika!!nadhani operation Will be executed next stage itaendelea na mpo jikoni mnajipanga kwa sasa!!see you soon comrade!!
 
Thid plan is ahead I wonder
 
Namba 11 Mama kakiuka kwa kuendelea kukopa na kuongeza Deni la Taifa!!Mumemtuma Ndugai aseme !!! Mmechukia jamaa kazinguliwa uspika!!nadhani operation Will be executed next stage itaendelea na mpo jikoni mnajipanga kwa sasa!!see you soon comrade!!
Na kweli kaja.
 
Unajua kuunganisha matukio,kuna ka ukweli fulan hapa
Si unaona jamaa juzi kaja na uzi wa FDR na utawala wa miaka 12!!!na neno next stage limo kwenye huo uzi!!!maana yake next operation loading now!!!!hadi mwakani muda kama huu mission over!!!!Kumbuka operation ile uzi wake ulikuja humu March 2020 mission over ikawa March 2021! Baada ya mwaka !tutarajie mwakani mwanzoni operation next stage itakuwa over!!jamaa hua wanatoa mwaka moja kabla alert na kukamilisha Mwaka unaofuata!!!
 
Msitishe Madame President, Tanzania iko imara na Hayati John P. Magufuli alifariki kifo Cha kawaida na kila mtu anajua na sio ule utabiri wako feki.

Pengine sababu kuu ni ukaidi wake wa namna ya kupambana na COvid-19 na kisha akaji- expose kupita kiasi ili Hali alikuwa katika kundi hatarishi. Hili lilionekana dhahiri na hata lilionekana wazi linaweza muathiri kama ilivyotokea kwa Mkurunzinza.

You're nobody...wewe ni kama wasaliti wengine walioko kwenye serikali wenye access ya information muhimu ambao wanavujisha kabla hazijatangazwa.
Imekuuma sana jamaa kuwa na access na information kuliko wewe?
 
Nimekusoma mkuu

Changamoto ya kwanza ni katiba. Rais anapata madaraka yake kwenye katiba ambapo 'theState', pamoja na kuwa na capacity, wako well trained kujua mipaka yao, kwamba lazima katiba na sheria ziheshimiwe.

Ikiwa sisi tutaona ni sawa kuvunja katiba na kuyapoka madaraka ya rais, basi nasi hatutakuwa tofauti na hao tutakaokuwa tunataka kuwapoka madaraka. Lazima kila mtu afanye kazi kwenye misingi ya utawala wa sheria.

Ajenda kuu na ya mwanzo kwa sasa, hasa kuanzia kipindi kile cha awamu ya nne na yaliyotokea awamu ya tano, ni uundwaji wa katiba mpya. Sasa imekuwa lazima na pressure imekuwa kubwa sana hata pale 'stpeters'.

Kwa miaka mingi 'stpeters' pale kumekuwa na nguvu kubwa kwenye kulinda wakubwa. Lakini sasa kwa madhaifu ya nyuma na matatizo ya hapa karibuni, wapo wanaoona umuhimu wa kuwa na taasisi zitakazofuata msingi ya sheria na haki.

Kumbuka 'stpeters' na 'theState' sio taasisi moja. Hawa 'theState' wao wametoa muda mpaka mwakani kwa mchakato wa katiba kuanza. Nachelea kusema kama 'aliyepewa muda' hataanza hili inaweza kuwa 'too late' kwake.

Sasa kule 'stpeters' bado kuna wale conservatives ambao wanataka mambo yaende hivihivi na wanaamini wanazo means za kuhakikisha inabaki hivi. Wapo ambao wanashughulikiwa kimyakimya na muda mchache hawatakuwepo tena. Watakaobaki wakiendelea wanaweza kufanya too late ya 'aliyepewa muda' isiwe beyond mwakani.

Traditionally, kwenye miradi huko na utendaji kuliachiwa wanasiasa. Maslahi ya kiuchumi yaliachwa sana kwa watendaji serikalini. Mabadiliko ya kuweza kuwa na 'economic intelligence' kwenye taasisi ya pale 'stpeters' yatakuja mfumo wote utakapobadilishwa.

Yaani hii itakuwa transformation kubwa sana kuona focus isiwe tu kwenye ulinzi na usalama bali iende pia kwenye uchumi na biashara. Hapa bado kuna jukumu kubwa sana ila najua wapo watu kadhaa pale 'stpeters' wamekuwa wakipikwa kwa takribani miaka 12 sasa. Mmoja wao akipewa kuongoza ile idara basi anaweza kuleta tija.

Mpaka wakati huu hakujakuwa na vitendo vya kulipiza kisasi. Watu wamebadilishwa na wengi wamepewa nafasi nyingine, tena zenye heshima kabisa, ili wapate nafasi ya kujitafakari na kujipanga. Ila utashi wa kisiasa utaamua nani abaki na nani aendelee.
Aiseee hatari Sana
 
Aiseee hatari Sana
Kumbe mama anaposema eti kipaumbele sio katiba Bali ni kuwaletea watu maendeleo anawakosea the state na hao wanafanya too late ya mama hence utawala wake usiwe beyond Mwaka huu!!ndio maana FDR Lazima aingie ikulu akae miaka 12 kuifanya tz kuwa super power ya kiuchumi!!!next stage Operation ipo on!!tutarajie kuanzia mwezi wa tatu Mwaka huu tutaanza kuona vugu vugu la Roosevelt kushika hatamu!!!tujiandae kwa Mabadiliko!!
 
Back
Top Bottom