ngoja niingie kwenye kikao, charminglady nisaidie kumuumbua huyu manoah
ngoja niingie kwenye kikao, charminglady nisaidie kumuumbua huyu manoah
Wewe ndio ume mdanganya Bulldog eeh! Utampa nini
Mkubalie tu muanze maisha ya ndoa yenye baraka
Huyo muongo tena mzushi.... Anitake radhi tafwazali....
kwa moyo wa dhati,bila kushurutishwa..nimekubali kua wako manoah sijali uliyopitia huko nyuma,hayo ni mapito tu na kwa kua umeahidi kubadilika na kua mtu mwema kwangu na kwa wana CC wote..pokea moyo wangu uwe wako.....nakupokea kama mtu mpya..Mungu atulinde atusaidie tudumu pamoja..
copy: cuzin snowhite Kaizer na member wa familia yangu wote walonipokeaga..teh tih teh...