Hakuna sheria kama hiyo kwenye kanuni za Jf.
Sheria zinazuia kufungua Id mpya wakati upo kwenye BAN,ili kukwepa adhabu ya BAN.
kila la heri
Swali moja tu kwako manoah, kwanini unabadili majina kama kinyonga?
Mzima lakini? Nakuja TZ weekend niko hapa kwa kina Raila na Uhuru nahesabu kura zao.
Ebu tuachane nayo hayo kwanza. Tugange mapya.
kweli nimeamini bara bara imara ni ile iliyopita gari nyingi
Shemeji yangu! mbona waja kuniwekea ngumu tena
Dunia yako,badili tu mwanawane.