Taarifa kwa wana Chit Chat..

issue sio majina..ila tu naona apa kuna meng ya kufanyia kazi b4 cheti cha hakijasainiwa...inaonekana historia ya nyuma ya mpendwa wangu manoah ina mushkeli kwa kiwango shtukizi..
Kwa sababu kabadili jina unataka umkubali..!?? huyapendi majina ya kijapani!??
 
Last edited by a moderator:
sawa. Na majina je? Mimi sio Dr. love..

Huyu dogo kavurugwa huyu, mara majina ya kijapani mara arudi mwa zamani ili mradi taabu tupu. alipotoswa na Ciello akabadili jina akajiita noahism, alipomtaka Blaki Womani akajipa majina ya mashariki ya mbali, sasa anamtaka mimisa karudia la zamani, akimpata sijui atajiita nani...!?
 
mimisa twende ndani tukazungumze kwanza hapa naona pana nielemea
issue sio majina..ila tu naona apa kuna meng ya kufanyia kazi b4 cheti cha hakijasainiwa...inaonekana historia ya nyuma ya mpendwa wangu manoah ina mushkeli kwa kiwango shtukizi..
 
Last edited by a moderator:
issue sio majina..ila tu naona apa kuna meng ya kufanyia kazi b4 cheti cha hakijasainiwa...inaonekana historia ya nyuma ya mpendwa wangu manoah ina mushkeli kwa kiwango shtukizi..

Hapo chacha, kabla hamjakubaliana lolote nakushauri mpite kwenye kamati ya screening
 
Last edited by a moderator:
tuna mlolongo ee
 
hivi kutaja majina ya ID tofauti za mtu mmoja si kosa!? #justasking #
 
Last edited by a moderator:
Mnamo tarehe 30/01/2013 saa 21:31 masaa ya Afrika Mashariki, ndugu yetu huyu alimchumbia na kumuoa Rich woman....

Itaendelea.....

cc: mimisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…