Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #181
Kaizer na cuzin snowhite..mnamaanisha hamjaridhia ama?..say sth pliiziiioooo
Usiwe na shaka na kuhusu hilo mama!
Nitahakisha yupo salama na hajuti kua na mimi..
weka tangazo kabisa..
Siwezi kuweka tangazo, wewe mwenyewewe unajua nakupenda sana alafu wewe unasikiliza maneno ya watu so mi nifanyaje sasa?
Siwezi kuweka tangazo, wewe mwenyewewe unajua nakupenda sana alafu wewe unasikiliza maneno ya watu so mi nifanyaje sasa?
Khaaaaaaa dogo what again sasa??????????????????
Jaman ee,tumefarakana huku...
ah! Mi nimechoka, yani kila mtu akija anaweka kikwazo duh!
Daahhh pole sana dogo ila usijali ndio mapenzi hayo na vikazwo vitakwisha tu usihofu kwani hakuna mapenzi yaliyoyooka kama barabara.Ukiona mapenzi yako ni mteremo tu shtuka......