Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
Mzungu kama kawaida yake ameshakuna kichwa na kikatoa majibu.
Wanasayansi wa nchi za wenzetu wamekuja na kidonge cha kupanga uzazi kwa ajili ya wanaume,
Dawa hiyo inayojulikana kwa jina la "dimethandrolone undecanoate" DMAU tayari imeshafanyiwa majaribio na inafanya kazi sawa sawa.
Dawa hii inachokifanya ni kuithibiti homoni ya kiume(testosterone) kwa mwezi mzima na kuifanya iache kuzalisha sperms wakati wa mwanaume kufika kileleni kwenye mambo yetu yale.
Maana yake mwanaume ata-ejaculate kama kawaida ila ndani ya vile vinavyotolewa kunakuwa hakuna mbegu za kutungisha mimba, kifupi anatoa maji bila mbegu ila huwezi kujua kwa kutazama kwa macho.
Tafiti zinadai ukila kidonge kimoja unapita free mwezi mzima.
Dawa hizi madaktari wanasema hazina madhara kama ambavyo zawa za uzazi wa mpango kwa wanawake zilivyo na madhara.
Wagegedaji kazi ni kwenu.
Source: Be ready to embrace male family planning pill