Taarifa kwa wagegedaji: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vishapatikana.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
Mzungu kama kawaida yake ameshakuna kichwa na kikatoa majibu.

Wanasayansi wa nchi za wenzetu wamekuja na kidonge cha kupanga uzazi kwa ajili ya wanaume,
Dawa hiyo inayojulikana kwa jina la "dimethandrolone undecanoate" DMAU tayari imeshafanyiwa majaribio na inafanya kazi sawa sawa.

Dawa hii inachokifanya ni kuithibiti homoni ya kiume(testosterone) kwa mwezi mzima na kuifanya iache kuzalisha sperms wakati wa mwanaume kufika kileleni kwenye mambo yetu yale.

Maana yake mwanaume ata-ejaculate kama kawaida ila ndani ya vile vinavyotolewa kunakuwa hakuna mbegu za kutungisha mimba, kifupi anatoa maji bila mbegu ila huwezi kujua kwa kutazama kwa macho.

Tafiti zinadai ukila kidonge kimoja unapita free mwezi mzima.

Dawa hizi madaktari wanasema hazina madhara kama ambavyo zawa za uzazi wa mpango kwa wanawake zilivyo na madhara.

Wagegedaji kazi ni kwenu.

Source: Be ready to embrace male family planning pill
 
Safi sana, wale sperm donors mtafute visingizio tena. Mlizidi kuwaonea wanawake.
 
Yote hii ni mipango ya wazungu kupunguza rapid population growth especially in africa ili kuondoa ukuwaji wa science na tecknolojia miongon mwa nchi za kiafrika
Sasa hivi tu mmejazana kama utitiri, hiyo sayansi na keknolojia vimekua?
 
Mzungu kama kawaida yake ameshakuna kichwa na kikatoa majibu.

Wanasayansi wa nchi za wenzetu wamekuja na kidonge cha kupanga uzazi kwa ajili ya wanaume,
Dawa hiyo inayojulikana kwa jina la "dimethandrolone undecanoate" DMAU tayari imeshafanyiwa majaribio na inafanya kazi sawa sawa.

Dawa hii inachokifanya ni kuithibiti homoni ya kiume(testosterone) kwa mwezi mzima na kuifanya iache kuzalisha sperms wakati wa mwanaume kufika kileleni kwenye mambo yetu yale.

Maana yake mwanaume ata-ejaculate kama kawaida ila ndani ya vile vinavyotolewa kunakuwa hakuna mbegu za kutungisha mimba, kifupi anatoa maji bila mbegu ila huwezi kujua kwa kutazama kwa macho.

Tafiti zinadai ukila kidonge kimoja unapita free mwezi mzima.

Dawa hizi madaktari wanasema hazina madhara kama ambavyo zawa za uzazi wa mpango kwa wanawake zilivyo na madhara.

Wagegedaji kazi ni kwenu.

Source: Be ready to embrace male family planning pill
Jana usiku niliota kuwa idadi kubwa ya wannaume wakifanyiwa operation ya uvimbe kwenye via vya uzazi.
Watafsiri wa ndoto naomba munitafsirie hii ndoto.
 
Mzungu kama kawaida yake ameshakuna kichwa na kikatoa majibu.

Wanasayansi wa nchi za wenzetu wamekuja na kidonge cha kupanga uzazi kwa ajili ya wanaume,
Dawa hiyo inayojulikana kwa jina la "dimethandrolone undecanoate" DMAU tayari imeshafanyiwa majaribio na inafanya kazi sawa sawa.

Dawa hii inachokifanya ni kuithibiti homoni ya kiume(testosterone) kwa mwezi mzima na kuifanya iache kuzalisha sperms wakati wa mwanaume kufika kileleni kwenye mambo yetu yale.

Maana yake mwanaume ata-ejaculate kama kawaida ila ndani ya vile vinavyotolewa kunakuwa hakuna mbegu za kutungisha mimba, kifupi anatoa maji bila mbegu ila huwezi kujua kwa kutazama kwa macho.

Tafiti zinadai ukila kidonge kimoja unapita free mwezi mzima.

Dawa hizi madaktari wanasema hazina madhara kama ambavyo zawa za uzazi wa mpango kwa wanawake zilivyo na madhara.

Wagegedaji kazi ni kwenu.

Source: Be ready to embrace male family planning pill
Waislamu kwenye upuuz huo huwa hawataki kusikia,hii itatuathili sisi Wakiristo,tunaojifanya kuwathamin watu wa Magharib
 
Back
Top Bottom