Taarifa kwa vyombo vya habari

Huyu Nyakarungu mbona mimi namsikia kwenye migogoro tu.

Si ndiye huyu huyu Nyakarungu alikutwa kwenye vikao vya siri Africa Hotel na Mwigulu Nchemba, ndiye huyu huyu anayejipendekeza kwa Lowasa na kumpigia debe.....so hiyo huruma yake na uchungu kwa CHADEMA imetoka wapi kama sio unafki na kuingiziwa vijipesa M PESA itakuwa ndiye yule M sijui nani hana kazi anategemea kulishwa na hao kuku zake
 
Kuna watu mna roho ngumu zaid ya Paka.
Starrling wenu MM kasha kufa....movie imeisha hiii....

Mkuu Bramo hizi Movie zingine vumilia tu kuziangali licha ya kwamba starrling kafa kwenye utangulizi isikupe shida that is why we like JF kuna watu wakila aina..
 
Muhuni tu hata asiyejua nini maana ya Singe au Mdeki anajiita Brigedia?!! brigedia wa majungu wewe..huna kazi njaa inakusumbua usichezee cheo hicho manake hutakaa ukipate mpaka ufe
 
chadema ni wahuni kabisa,kwann wanakandamiza demokrasia

Waambieni haya mapandikizi yenu yapiganie demokrasia ndani ya chama chao cha Mapinduzi! Waulize kwa nini uongozi ndani ya CCM ni wa kuritishana toka kwa baba/mama hadi kwa watoto wao? Hawayaoni haya? Mwinyi kawaandalia watoto wake sasa baadhi ni mawaziri, Mzee Kawawa hivyo hivyo, Ridhiwani naye anaandaliwa kwa kasi a ajabu, Yusuf Makamba kesharitisha tayari. Mlolongo ni mrefu! Kurithisha uongozi wa kisiasa ndani ya CCM ndiyo demokrasia yenyewe? Kwa nini hampazi sauti kukemea haya? Mapandikizi ni chukizo mbele ya jamii.
 
UVCCM sikuhizi ndiyo kikosi cha waasi hahaaaa................ Usituletee upuuzi hapa watanzania wanaona.


Mods ondoeni huu ushuzi

Mungi unaweza kuuundoaje ushuzi mathalani. Unamaanisha unaweza kupigana na upepo?

Zitto hawezi kuondoka CHADEMA kirahisi kama mnavyodhani kuwapisha wahafidhina wajinafasi.

The struggle continues.... Mmeshinda kwa muda kwa vile wahafidhina wa kamati kuu wali dictate maamuzi bila facts.
 
mtkundruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....!

Eti, Brigedia? unadhani unajiita tu kama unavyotaka siyo? una tofauti na wale viongozi

wa M 23. mbona ujiiti mwenyekiti wa

chadema mpaka ujiite brigedia? mpuuzi sana wewe! umenichefua kwa iko cheo

ulichojiita. watu wana elimu na mda wa

kutosha Jeshini kuliko hata huyo kiongozi wako wa chama na uasi bado hawafikia hiko

cheo we katoto cha 70's-80's ndo ujiite.

nyambaaaafuuuuuuuuuuuu
.
 
Kumbe kuna watu vichwani mwao wamejazwa makamasi badala ya ubongo!
 
masalia at work machozi yanawatoka vilaki mbili mbili vimeota mbawa brief case nyekundu ndio hatima yake
 
Nyakarungu nakuelewa sana.mtu asiyeijua chadema ataona unaropoka lakini sasa hivi lazima ukweli ujulikane na hakika Haki na Ukweli lazima vitashinda.Yaani watu wote waliokifia chama leo ni maluki kisa tu unasema ukweli hivyo automatically huwezi kuwa kambi ya Mbowe.Mimi naamini katika nguvu ya umma kama tunavyoihubiri na hakika kwenye chama nguvu ya umma itafanya kweli kwenye yote.Mie yangu macho nasubiri kabla na mie sijaamua kutia mkono wangu
 
brigediaaaaa ...... mjombaaaa...... kwaniniiiii........ umevurugwa weweeee........ unataka pesaaaa .... njoo nilimie bustani yangu ya maboga nikutoe brigedia
 
Ha!ha!ha!ha! Mbavu zangu jamani, huyu tena ametoka wapi? Lol lol naona watu wanatafuta umaarufu kwa mgongo wa Zitto... Utakuwa umekunywa la m.a.v.i si viroba tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom