Taarifa kwa vyombo vya habari

Wapigania demokrasia ndani ya CHADEMA lakini ni MACCM!!!! Hebu tuwekee majina ya hao waliohusika kuandaa waraka huu ili tuangalie ni wangapi ambao wanastahili kuitwa ni wanachama wa CHADEMA. Mtaweweseka sana mwaka huu.

Well said
 
kama we brigedia kweli nitajie jina halisi la MM2 wallah nakuahidi kujiunga na uasi kuanzia leo.kama vipi ni pm
 
wewe unatoa huu ----- ukiwa kama nani ndani ya CDM? peleka huu u2mbo wako kwa magamba na L7 wenzako, hadanganyiki m2 hapa.
 
huyo si ni marando.

MM2=Mabere Marando.(double m)

Hakuna kitu kunaitwa MM2 ktk mtandao wa ushindi wa Maliberali. Rejea hapa;
Kwa maana hiyo bado nashikilia msimamo wangu kwamba anayetafutwa ni M2 sio MM2
 
Hawa jamaa kama wanamaanisha wanayo nena nyuma ya Keyboard wamchukue muasi mwenzao Habib Mchange wakaanze kuonyesha wanayoita nguvu ya umma pale Kibaha mjini. Ni kilometa chache tu kutoka DSM baada ya hapo waende Serengeti kwa kina Nyakarungu halafu wamalizie kwa kina Mwampamba kule ambako siku hizi anaingia usiku na kutoka alfajiri.
 
Si bure lazima una tatizo kubwa sana kichwani. Maumivu ya kichwa huanza taratibu taratibu baadae unashtukia mtu anasaragambua nguo. Pole sana ndugu yangu maana hata ulichoandika hakieleweki. Umejichanganyachanganya na mwisho kabisa ndipo mtu anajua wewe sio mzima.
 
acha kuchekesha umma nyakarungu msaliti toka serikali ya chakushemeire mzumbe na muasisi wa uasi wa chedema tena bavicha kwa kutumiwa na ccm na fail lako loote tunalo

​
 
Haujashauri nini kilipaswa kufanywa kwa akina zitto na dk.kitilla kama mbadala wa maamuzi yaliyofanywa na kamati kuu badala yake umebwabwaja tuuu,huku ukilahumu upande flani na ukilenga kupandikiza chuki,kajipange upya na huje na hoja zisizo dhaifu hivi
 
si robbing ni lobbing, alafu we mtoto wa mchungaji acha mbwembwe...hiyo nguvu ya umma utajikuta mmeandamana wewe na hao jamaa, sijui mpo saba.
 
Sawa kabisa mkuu Mtoi.
 
Nguvu ya Umma iko Chadema, Sio kwa waasi(Rebelion,s) Poor you. Viongozi watimuliwa wote siku 14 ni jibu tosha,Hata kama hamtaki mtainywa kwa maana ni dawa!!!
 
Asante sana bregadia Nyakarungu umeongea kila kitu.

Kuna kitu umesahau hivi kwenye katiba ya chama kuna kipengele kina ruhusu wanachama kukopeshwa na chama?

Hongera sana bregadia Nyakarungu umesaha kuuliza aliyempa ruhusa Godbless J Lema kumpiga tofali Mwigamba?

Kwakweli lema,mbowe,slaa na mtei lazima wakubali kukirudisha chama kwa wananchi.

Bregadia Nyakarungu nazidi kukuombea usipigwe tofali wala kumwagiwa tindikali.

Bregadia Nyakarungu pole sana chadema ni chama cha mtei na lema kwa hiyo nguvu nyingi ina hitajika kuwaanisha kuwa hichi chama sio chao.

Bregadia Nyakarungu huyu M2 anawindwa sana na umwambie awe makini sana wakati akiwa anasaidia kumwaga mboga.

Bregadia Nyakarungu kifupi kama ulimsikiliza Lisu utagundua alitoboa siri kuwa kikao cha juzi kiliwafukuza Zitto na Kitila.

Bregadia Nyakarungu umenena vyema kabisa ni mara nyingi Lissu amekuwa akisema kama haki wata hikosa bungeni watarudi kwa wananchi kuwaeleza na kumsema spika wakijua ni nje ya utaratibu na style hiinimekuwa ya kawaida. Lakini namshangaa Lissu kupiga kelele wenzie kufanya nje ya utaratibu wakati anajua kuwa mtu anaweza tafuta haki hata nje ya utaratibu.

Bregadia Nyakarungu kabla ya report hile ya siri kuchapwa kwenye magazeti kama Henry Kilewo aliubandika kwenye blog yake(credit kilewo)hivyo anajua alii utoa wapi.

Hata hivyo kamanda Mungi amesema hile report ni ya kweli na ilikataliwa na chadem a kwa mkakati mahususi,hivyo ni wazi chanzo cha huo waraka ni makao makuu.
Namshukuru kamanda wa lema bwana Mungi kwa kutoboa siri hiyo.

Ni wazi chadema wanaogopa demokrasia na huu ndio mwisho wao.
 
Last edited by a moderator:
kweli nimeamini wew ni kibaraka ndani ya chadema hyo mikutano yako na watu wako ifanye,uspika wako katika serikali ya wanafunzi chuo kikuuu mzumbe umekushinda utaweza kusimamia maslahi ya taifa bwana nyakarungu usitafute umaarufu ndani ya jukwaa hili kwa hoja zisizo na mashiko na falsafa za sungura na fisi.........umekuwa mstri wa mbele kukibomoa chama kwa kutumiwa na magamba hilo tunajua.nimeamua kujibu hoja ili kukufuta mtazamo feki na falsafa zisizo na mashiko pleas acha kuwaudhi wapenda maendelo.......
 
Asante sana bregadia Nyakarungu umeongea kila kitu.

Kuna kitu umesahau hivi kwenye katiba ya chama kuna kipengele kina ruhusu wanachama kukopeshwa na chama?

Hongera sana bregadia Nyakarungu umesaha kuuliza aliyempa ruhusa Godbless J Lema kumpiga tofali Mwigamba?

Kwakweli lema,mbowe,slaa na mtei lazima wakubali kukirudisha chama kwa wananchi.

Bregadia Nyakarungu nazidi kukuombea usipigwe tofali wala kumwagiwa tindikali.

Bregadia Nyakarungu pole sana chadema ni chama cha mtei na lema kwa hiyo nguvu nyingi ina hitajika kuwaanisha kuwa hichi chama sio chao.

Bregadia Nyakarungu huyu M2 anawindwa sana na umwambie awe makini sana wakati akiwa anasaidia kumwaga mboga.

Bregadia Nyakarungu kifupi kama ulimsikiliza Lisu utagundua alitoboa siri kuwa kikao cha juzi kiliwafukuza Zitto na Kitila.

Bregadia Nyakarungu umenena vyema kabisa ni mara nyingi Lissu amekuwa akisema kama haki wata hikosa bungeni watarudi kwa wananchi kuwaeleza na kumsema spika wakijua ni nje ya utaratibu na style hiinimekuwa ya kawaida. Lakini namshangaa Lissu kupiga kelele wenzie kufanya nje ya utaratibu wakati anajua kuwa mtu anaweza tafuta haki hata nje ya utaratibu.

Bregadia Nyakarungu kabla ya report hile ya siri kuchapwa kwenye magazeti kama Henry Kilewo aliubandika kwenye blog yake(credit kilewo)hivyo anajua alii utoa wapi.

Hata hivyo kamanda Mungi amesema hile report ni ya kweli na ilikataliwa na chadem a kwa mkakati mahususi,hivyo ni wazi chanzo cha huo waraka ni makao makuu.
Namshukuru kamanda wa lema bwana Mungi kwa kutoboa siri hiyo.

Ni wazi chadema wanaogopa demokrasia na huu ndio mwisho wao.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana bregadia Nyakarungu umeongea kila kitu.

Kuna kitu umesahau hivi kwenye katiba ya chama kuna kipengele kina ruhusu wanachama kukopeshwa na chama?

Hongera sana bregadia Nyakarungu umesaha kuuliza aliyempa ruhusa Godbless J Lema kumpiga tofali Mwigamba?

Kwakweli lema,mbowe,slaa na mtei lazima wakubali kukirudisha chama kwa wananchi.

Bregadia Nyakarungu nazidi kukuombea usipigwe tofali wala kumwagiwa tindikali.

Bregadia Nyakarungu pole sana chadema ni chama cha mtei na lema kwa hiyo nguvu nyingi ina hitajika kuwaanisha kuwa hichi chama sio chao.

Bregadia Nyakarungu huyu M2 anawindwa sana na umwambie awe makini sana wakati akiwa anasaidia kumwaga mboga.

Bregadia Nyakarungu kifupi kama ulimsikiliza Lisu utagundua alitoboa siri kuwa kikao cha juzi kiliwafukuza Zitto na Kitila.

Bregadia Nyakarungu umenena vyema kabisa ni mara nyingi Lissu amekuwa akisema kama haki wata hikosa bungeni watarudi kwa wananchi kuwaeleza na kumsema spika wakijua ni nje ya utaratibu na style hiinimekuwa ya kawaida. Lakini namshangaa Lissu kupiga kelele wenzie kufanya nje ya utaratibu wakati anajua kuwa mtu anaweza tafuta haki hata nje ya utaratibu.

Bregadia Nyakarungu kabla ya report hile ya siri kuchapwa kwenye magazeti kama Henry Kilewo aliubandika kwenye blog yake(credit kilewo)hivyo anajua alii utoa wapi.

Hata hivyo kamanda Mungi amesema hile report ni ya kweli na ilikataliwa na chadem a kwa mkakati mahususi,hivyo ni wazi chanzo cha huo waraka ni makao makuu.
Namshukuru kamanda wa lema bwana Mungi kwa kutoboa siri hiyo.

Ni wazi chadema wanaogopa demokrasia na huu ndio mwisho wao.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…