Rais Samia aridhia Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu Nafasi ya makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Rais Samia aridhia Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu Nafasi ya makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

lord atkin

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
257
Reaction score
920
Mheshimiwa Rais Samia aridhia Nchimbi kujiuzuru Nafasi ya makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 25 Agosti, 2026, amepokea barua ya ombi la kujiuzulu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi kuanzia tarehe 04 Septemba, 2026.

Mheshimiwa Rais ameridhia ombi hilo.

Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Taratibu za kikatiba za kumpata Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwingine zitachukuliwa.



Screenshot_20260825_195109_Instagram.jpg
 
Hii ndio kusema supu ya mbwa inapaswa kunywewa angali ikiwa bado yamoto
1787677022384.png
 
R.I.P Magufuli bila kutujengea bwawa la umeme sasa hivi tungekuwa kwenye bonge la mgao wa umeme maana waliokufuatia hamna wanachofanya zaidi ya kufukuzana tu
 
Mheshimiwa Rais Samia aridhia Nchimbi kujiuzuru Nafasi ya makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania



Media Across Africa rebuke MAELEZO and it's boss DR. GERSON MSIGWA for clamping down on media freedom in Tanzania

22 August 2026
Lagos, Nigeria

Did TANZANIA'S Samia Revive Magufuli's Playbook? MwanaHALISI BANNED for 6 Months


View: https://m.youtube.com/watch?v=Vev4WtZcIuw
MwanaHALISI made serious journalistic errors: no interview with Vice President Emmanuel Nchimbi, no direct quotations supporting key claims, and even an incorrect photo caption.

But does one disputed article justify shutting down an entire newspaper—both print and online—for six months?

Type STANDARDS if you believe the government was enforcing professional journalism.

Type SILENCE if you believe the punishment was designed to intimidate every newsroom investigating powerful people.

Then tell us why: should Tanzania have demanded a front-page correction—or was the six-month suspension justified?👇 STANDARDS or SILENCE — the microphone is yours.
 
R.I.P Magufuli bila kutujengea bwawa la umeme sasa hivi tungekuwa kwenye bonge la mgao wa umeme maana waliokufuatia hamna wanachofanya zaidi ya kufukuzana tu
 
Back
Top Bottom